Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Hayo matatizo ni makubwa kuliko unavyodhani, inabidi umpeleke mwenza wako akaonane na daktari, kama una uhakika mazingira yako ni safi na bado anatokewa na hiyo hali ya kukosa nguvu basi anahitaji msaada wa daktari ili afanyiwe uchunguzi na kupatiwa matibabu.
Mwanaume hata awe na stress vipi, madeni kila kona linapokuja swala la kudo huwa anasahau kila kitu, ndio maana huwa wanasex hadi na vichaa.
Kifupi mwanaume hata kama hakupendi kusex mtasex tena style zote bila shida vinginevyo labda uwe unamboa wakati wa game hali inayopelekea yeye kupoteza stimu.