Spider Mousa Camara ndiye kipa bora kwasasa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla

GYF2-KtXoAAfqsa.jpeg
 
Kwa michezo miwili ya ligi kuu na michezo miwili ya CAFCC watu wameshahitimisha msimu mzima wenye mechi zaidi ya 40.
 
Agemae asali haonji bali huchanga mzinga. Simba ashachonga mzinga wa group stage. Ashazoea kuingia group stage. Group stage kwa simba ni Pi
 
Kipimo cha Camara ni derby ya kariakoo , akipigwa 7 October, hat trick ya Dube hatutaki makolo mseme Spider kapewa mlungula!!

mechi ya ligi ya mademu shirikisho si ya kumsifia Camara!! Hata Air Manula mlimsifia sana ila hivi sasa keshakuwa adui yenu kwa zile goli tano za Yanga.

Hii leo simba mdebwedo kushinda timu mbovu inaitwa siku nzuri kazini tu au saa mbovu kupatia majira, kipa bora wa muda wote bado ni Diarra ana clean sheets mechi mbili Klabu bingwa, kombe la wanaume!!
 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
Golikipa namba moja wa Simba SC Camara kwa sasa ni kipa namba moja Tanzania na Afrika

Twende kazi kwa uchambuzi zaidi

Ukibisha sikushikii kiboko
Afadhali ungesema Tanzania pekee, Umewezaje kumpima na magolikipa wa Afrika yote WAKATI hawachezi ligi Moja hata mashindano ni tofauti? Ningekuelewa kidogo kama ungemlinganisha na magolikipa wenzake wa shirikisho.
 
Back
Top Bottom