Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
wa supu za mizoga ya VingungutiYanga BINGWA
Asije kumtegea vyombo tu huyu jamaaDarisha dogo ningekua manura ningetafuta team nyingine tu
Kwani kuna tatizo akicheza na mama yako?Goal keeper Bora acheze mashindano ya akina Mama?
Tatizo hamnaKwani kuna tatizo akicheza na mama yako?
Basi mwache acheze na mama yako ukiona hatoshi waweke na dada zako, sawa?Tatizo hamna
Maana na yeye ni mama
Mashindano ya waremboBasi mwache acheze na mama yako ukiona hatoshi waweke na dada zako, sawa?
Huku unalia😂😂Yanga BINGWA
Woyoooooooh!!!!!Nakubaliana na wewe mkuu...kuna magoal keeper afu kuna Camara
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sanaKipimo cha Camara ni derby ya kariakoo , akipigwa 7 October, hat trick ya Dube hatutaki makolo mseme Spider kapewa mlungula!!
mechi ya ligi ya mademu shirikisho si ya kumsifia Camara!! Hata Air Manula mlimsifia sana ila hivi sasa keshakuwa adui yenu kwa zile goli tano za Yanga.
Hii leo simba mdebwedo kushinda timu mbovu inaitwa siku nzuri kazini tu au saa mbovu kupatia majira, kipa bora wa muda wote bado ni Diarra ana clean sheets mechi mbili Klabu bingwa, kombe la wanaume!!
Afadhali ungesema Tanzania pekee, Umewezaje kumpima na magolikipa wa Afrika yote WAKATI hawachezi ligi Moja hata mashindano ni tofauti? Ningekuelewa kidogo kama ungemlinganisha na magolikipa wenzake wa shirikisho.Golikipa namba moja wa Simba SC Camara kwa sasa ni kipa namba moja Tanzania na Afrika
Twende kazi kwa uchambuzi zaidi
Ukibisha sikushikii kiboko