Spider Mousa Camara ndiye kipa bora kwasasa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla

Golikipa namba moja wa Simba SC Camara kwa sasa ni kipa namba moja Tanzania na Afrika

Twende kazi kwa uchambuzi zaidi

Ukibisha sikushikii kiboko
Hakuna anayebishana na wewe mkuu
 
Attachments

  • images (8).jpeg
    28.8 KB · Views: 4
  • images (6).jpeg
    51.7 KB · Views: 4
Huyu si ni yule aliyepigwa magoli 3 na Utopolo, magoli 2 yalikataliwa na waamuzi!

😃😃😃😃
 
Afadhali ungesema Tanzania pekee, Umewezaje kumpima na magolikipa wa Afrika yote WAKATI hawachezi ligi Moja hata mashindano ni tofauti? Ningekuelewa kidogo kama ungemlinganisha na magolikipa wenzake wa shirikisho.
Ingekuwa busara kumlinganisha Camara na makipa wenzake wa Simba kama Manula, Ayubu au Ally Salim hapo hamna povu!!
 
Golikipa namba moja wa Simba SC Camara kwa sasa ni kipa namba moja Tanzania na Afrika

Twende kazi kwa uchambuzi zaidi

Ukibisha sikushikii kiboko
Ndiyo huyu aliyepigwa goli matata la tobo na Max Nzengeli kwenye mechi ya mwanzo ya Ngao ya Jamii msimu huu, au namfananisha!!
 
Golikipa namba moja wa Simba SC Camara kwa sasa ni kipa namba moja Tanzania na Afrika

Twende kazi kwa uchambuzi zaidi

Ukibisha sikushikii kiboko
Hii mihemuko ya vijana w 2000 taabu kwelikweli. Wanaropoka tu linalowajia.
 
Ndiyo huyu aliyepigwa goli matata la tobo na Max Nzengeli kwenye mechi ya mwanzo ya Ngao ya Jamii msimu huu, au namfananisha!!
YES NDIO HUYU HUYU ALIYEFUNGWA GOLI LA MBALI NA KIBU DENIS AKADONDOKA CHINI NA KUBINUA MAKALIO.
 
Hivi yanga mnataka kusema nyie mko poa? Ile timu ya Ethiopia mbovu vile ndo mnataka mpige kelele?Mavi yenu
 
Hivi yanga mnataka kusema nyie mko poa? Ile timu ya Ethiopia mbovu vile ndo mnataka mpige kelele?Mavi yenu
Wewe ni mbumbumbu og, huwa tunawajua kwa matusi laivu. Makolo mmejaa nongwa na gubu kwa vile Yanga tuko ligi ya wanaume na tunakomba pesa ya Mazeri nyie mnaambulia makombo tu.

Hii ligi ya shirikisho la mademu mnayocheza nakuhakikishia hamfiki robo fainali. Niko paleee maskani Buza Mpalanger kwa wajanja!!
 
Al Ahli tripoli ni timu ndogo kufungwa na Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…