Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Sasa mbona hili ni swali?
Sio msimamo wake,ameuliza tuu.
Sheria inambana mtu akitaka kujua jambo?
 
Kama vipi Pascal Mayalla na yeye atayarishe majibu kama yale ya Zitto Kabwe aliyoyatoaga kwenye ile kamati nadhani ilikua ya maadili mpaka jamaa wakaamua kuahirisha kumuita maana majibu yale yalikua hawayawezi kutoa majibu
Bunge wameamua kumfanyia promotion Paskal mayala angalau apate cheo cha katibu Tawala hata zile wilaya za mipakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…