Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Duuu. Umemdakia juu kwa juu na kumshambuliaONA AIBU WASI.....wewe nae ni mwanahabari UNAEJIELEWA KWELI????
kila mtu anafahamu kabsa wewe ni kamradi maalumu ka hapo UFIPA.....zero brain kabsa MUANDIKA UMBEA, unaekopi mada fb na kutuletea hapa...wakati unanijibu hii comment uje utuonyeshe ANDIKO LOLOTE ULILO WAHI KUANDIKA HAPA JF la kutoka kichwani kwako mwenyewe kama afanyavyo PASCHAL
Pascal ni mjasiriamali kwahiyo sioni namna adhabu yoyote ya bunge itakavyomuathiri labda kama ametenda jinai!Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
View attachment 742128
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.
Taarifa zaidi zinafuata...
Akili za maskini tabu tupu!Wanyang'anywe leseni za Kazi na gazeti lipewe life Ban!
Mwanahabari utakuwa wewe bhana??sisi wanahabari tunaojielewa na kuhoji tunatafutwa sana
haya magamba yaache kutuzingua hapa.....kwani alichoandika Paskali ni uongo??Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
View attachment 742128
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.
Taarifa zaidi zinafuata...
Alipohojiwa bashite watu walifurahi sana. Paskali mayalla yeye nani?
Hii nayo imemkwaza Faru Ndugai? Hiyo miguu tu ioze yote!Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
View attachment 742128
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.
Taarifa zaidi zinafuata...
Kwa hiyo Kuna watu maalum wa kulikosoa bunge? Akilituhu Makonda ahojiewe akilikosoa Paskali Mayalla asihojiwe?Kwa hiyo unataka kutulazimisha tufurahi hata kwa mambo ysiyotufurahisha?...Kweli uzalendo wa muongo huu kazi
Haya nimefurahi HiHi HiHi hiiiiiiiii 😀😀😀😀
Amekimbilia KWIMBA.