Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

KAMA SPIKA ANAONA BUNGE LAKE HALIKUTENDEWA HAKI AENDE MAHAKAMANI SIO KUTISHA WATU AU AENDE KWA PRESS OMBUDSMAN(UDIKTETA WETU SIJUI KAMA TUNAYE HUYU).
 
ONA AIBU WASI.....wewe nae ni mwanahabari UNAEJIELEWA KWELI????
kila mtu anafahamu kabsa wewe ni kamradi maalumu ka hapo UFIPA.....zero brain kabsa MUANDIKA UMBEA, unaekopi mada fb na kutuletea hapa...wakati unanijibu hii comment uje utuonyeshe ANDIKO LOLOTE ULILO WAHI KUANDIKA HAPA JF la kutoka kichwani kwako mwenyewe kama afanyavyo PASCHAL
Duuu. Umemdakia juu kwa juu na kumshambulia
 
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"

View attachment 742128

Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.

Taarifa zaidi zinafuata...
Pascal ni mjasiriamali kwahiyo sioni namna adhabu yoyote ya bunge itakavyomuathiri labda kama ametenda jinai!
 
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"

View attachment 742128

Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.

Taarifa zaidi zinafuata...
haya magamba yaache kutuzingua hapa.....kwani alichoandika Paskali ni uongo??
 
Kwa hiyo unataka kutulazimisha tufurahi hata kwa mambo ysiyotufurahisha?...Kweli uzalendo wa muongo huu kazi

Haya nimefurahi HiHi HiHi hiiiiiiiii 😀😀😀😀
Kwa hiyo Kuna watu maalum wa kulikosoa bunge? Akilituhu Makonda ahojiewe akilikosoa Paskali Mayalla asihojiwe?
 
Hii imekaa vizuri...

Paskal amepata nafasi ya kwenda kuongea nao face to face na kuwakumbusha maana na utofauti wa 'mhimli wa bunge' na 'mhimili wa wabunge'

hoja hujibiwa kwa hoja
Nguvu ya hoja ama Hoja ya nguvu... itajulikana akitinga huko mjengoni
 
Back
Top Bottom