Spika aahirisha safari ya Marekani

Spika aahirisha safari ya Marekani

Huyu Six naona na yeye kuna kitu hajakiona kikimjia.....
Na awe tayari kushangazwa na bunge...
Yeye acha aendelee kufanya maigizo wakati watu wako sirias...
 
ririposemaga rinaondokaga muriraramikaga. rimeamuaga ribaki munararamikaga.rrooo.hamuerewekagi,
 
Hii ni ushindi kwa wana JF wote na wote wapendao nchi ya tanzania

HABARI-WABUNGE WAMGOMEA FISADI KARAMAGI
---Wakataa miswada mipya kujadiliwa,mpaka ripoti ya RICHMOND
----Wasema ""tumechoka kuwa mambumbumbu bungeni,,wamzomea na kumwamrisha afunge mjadala ,,
CHANZO=HABARI LEO -4/02/2007

NDUGU WANA JF WOTE HII NIHABARI YA KUFURAHISHA NA KUONYESHA USHINDI UPO NA KAMA AUJAFIKA BASI UNAKARIBIA..KWA MARA YA KWANAZA WABUNGE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAMJULISHA WAZIRI KARAMAGI SASA TUMECHOKA KUWA MAMBUMBU......

WABUNGE WA JAMHRI YA MUUNGANO WADANGANYIKA JANA WALIAMUA KUMTOLE A UVIVU WAZIRI NAZIR KARAMAGI WAKATI AKILAZIMISHA KUJADILIWA MSWADA WA TANESCO KUVUNJWA NA KURUHUSU WATU BINAFSI KUSAMBAZA UMEE...HAYO YALISEMWA JANA WAKATI WAZIRI KARAMAGI ALIPOANDAA SEMINA KATIKA UKUMBI WA WABUNGE KUELEZEA MISWADA YA SHERIA YA UMEME NA YA BIASHARA YA MAFUTA,,
WABUNGE HAO WALIDAI WIZARA HAIKUJIANDAA KUKUELEZEA JUU YA SHERIA HIYO NA PI INA LENGO""LA KUWANUFAISHA WATU WACHACHE AMBAO WANATAKA KUENDELESHA BIASHARA YA KUTOA HUDUMA ZA UMEME"
MBUNGE WA MBEA MJINI(CCM)=HATUWEZI KUZUNGUMZA MUSWADA WAKO MPAKA UTULETEE RIPOTI NZIMA YA RICHMOND,nikimnikuu ""mh karamagi mtu akiitwa mbunge ana akili nzuri tulishakuwa mambumbu huko nyuma ,,na tukikosea tena watu watatuita stupid(wajinga),,nani kaipeleka TANESCO ICU,,TUKISHASOMA RIPOTI YA RICHMOND KWA SIKU MBILI NDIPO TUTAJUA HUENDA KUNA MKONO WA MTU ULIOFIKISHA HAPO ILIPO,,,

MHESHIMIWA SANA "MAMA ANNA KILANGO"::Nasema kama mama na mbungehata utuweke hapa kwa siku kumi hatutairuhusu miswada hii wewe waziri umekuwa na richmond ndio unaijua sisi hatuijui tunataka kuijua sasa"alisema mh A.MALECELA.......

MBUNGE WA BUSEGA..DK RAFAEL CHEGENI:::UMEFIKA WAKATI TUFANYE WANANCHI WANACHOTAKA,,BUNGE kuwa rubber stamp(mhuri) sasa basi jamani,umepitwa na wakati,tumechoka kuonekana washenzi kila mara namnukuu..tuiweke pembeni miswada tumalize yaliyo mezani..kuna mikataba mibovu mingi tu kama PTL RICHMOND na kila tulipobinafsisha tumeungua moto tukishindwa kufanya wanachotaka wananchi na tujiuzulu..."""sijui fedha za BOT zimeenda kuunda makampuni ya umeme.inawezekana zimeenda kununua majenereta hatupo tayari kupokea msawada wowote mh,,inaonekana hata ninyi hamjiamini mmekuja na wasiwasinaomba mwenyekitii funga semina yako tukatane bungeni tafadhali mbunge wa CCM LEKULE LAIZE namnkuu

MBUNGE WA KARATU DK W.SLAA::kupitishwa kwa sheria hiyomkutaruhusu ubadhirifu zaidi na kutolea mfano utaratibu wa mikopo ya uagizaji wa bidhaa nje(import support)kati ya 1985-1992zaidi ya makampuni 982yalianzishwa ba mtu mmoja akianzisha kampuni 32 na kusababisha upotevu wa trillion 1 na kwa mazingira ya nchi hayakubali wawekezaji wa umeme
 
is it the beginning of the end or the ending of the beginning? Masatu any opinions to salvage CCM? mmefisadika mpaka na kuwatafuna wadanganyika mpaka mmeanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe!!!
 
Ni ajabu na kweli kwamba "Habari Leo" wameandika habari hii, maana wao ni chombo cha sirikali na wamekuwa wakishabikia kila upumbavu wa sirikali. Inakuwaje leo wanamgeuka Karamagi (sirikali)?
 
WanaJF isije ikawa danganya toto. Nina wasiwasi huyu Spika asiwe ana maagizo ya siri kuhusu naman atakavyomaliza swala hili la RICHMOND bwana.Kwa nini alikuwa anakataa isijadiliwe mpaka awepo?. Hii inanitia wasiwasi. Nini maana ya kuwa na makamu wake pale kama hataki afanye kazi wakati yeye hayupo? Kuna KIZA hapa.
 
Kwa muda toka August 2007 nimekuwa nikiwaza na kuwazua; unabii wa Nyerere kuwa upinzani halisi utatoka ccm utatimia vipi aghalabu ccm imejaa watu wasiokubalika. Sikupata jibu. Matukio ya hivi karibuni; kwanza baada ya Prof. Slaa (Hii namwita kwa kuwa ni Mkombozo na Mzalendo wa kweli) kutujulisha mahakama ya mafisadi ni wananchi, na kisha matukio yaliyofuata baada ya zali la Zitto. Kwa manufaa ya wengi, naongelea ziara za mawaziri mikoani zilizoibua kuzomewa, kumwagiwa michanga, kuulizwa maswali magumu na ajali zilizohusishwa na laana ya usaliti. Naona funzo walilopata wabunge wa ccm linaanza kunipa mwangaza wa kina nani wanangaa ndani ya chama cha mafisadi (ccm) kama watu safi na wazalendo wa nchi hii. Hawa si wengine bali:

1. Dr. Mwakyembe,
2. Anna Makinga,
3. Anne Kilango,
4. Seleli

Hivi ndivyo vichwa ambavyo vikitoka ndani ya chama, kwa mtaji wa unadhifu wao ccm itaanguka na si kuyumba. Na wala si Lowassa, Rostam, Kikwete na mafisadi wengine wote ambao sikuwataja. Ukiangalia vizuri utabaini Kina Mama ndiyo mstari wa mbele.

Ili kuwaongezea nguvu, nakuomba Mama Anna Makinda uwasiliane nami. Nakundikia nikiwa mmoja ila nawakilisha maelfu ya wanaokuunga mkono. Tunataka kuwekeza uzalendo wetu kupitia kwako kupambana na dhalimu, fisadi six na wengine. Salamu hizi mfikishie pia Mama Anne Kilango.
 
"Kigumu" Chama cha Mapinduzi!
Tutaendelea kuwakoma tu.

Kwa sasa CCM na hasa Sitta kesha waamsha Watanzanai na sasa watafuatilia kwa kiasi kikubwa kuliko ambavyo wangali endelea kawaida .Mwisho naona watazuia TVT ya Mhando kwenda LIVE ili kufika matukio .Nina wasi wasi huo sasa.
 
Hofu yako wala haiko mbali sana na ukweli. Hivi majuzi wakati wa sherehe za "Mapinduzi" ya Zanzibar, TVT na wengine walizuiwa kupiga picha, pamoja na kwamba walikuwa na vitambulisho halali vya kazi yao na ruhusa juu.
Sitashangaa kama TVT wataambiwa "Shut up" na wakanyimwa haki za kurusha kipindi cha majadiliano ya mikataba na ripoti 'live' kutoka Dodoma.
 
Idimi wee! hilo ni lakweli kwani mafisadi hawapendi kuonekana na kwa kuwa wao ndio walioshikilia utamu ni rahisi kwao kupiga "full stop" hao wakina Datsuni Nissani , Marinyi marinyi, na wengine wanaojifanya kuturushia na kutuhabarisha sisi wadanganyika. Hivi ni kweli wadanganyika tutadanganywa wote kila wakati? Mimi siamini na sasa ndio tumeamka na wale waliopewa vilemba vya ukoka pale mjengoni nao wameshituka baada ya kuwaona wenzao wananufaika na mikataba wao wanaambulia per diem tu. Picha ndio limeanza sasa na sterring amejiweka sawa na fisadi limerudi kuanza mapambano ya kutetea hujuma zake.
 
Mimi nataka kuisikia sababu iliyomfanya aahirishe. Vinginevyo, aidha kuna kujiuzulu kwa baraza la mawaziri au kujiuzulu kwa Waziri Mkuu.
 
Huyu mnyamwezi (six) ana serious issues. Mwanzoni alikuwa machachari against the govt hususan wakati ule BoT ilipoungua mwaka 1984. Watu walikuwa wanamhaha. Akaleweshwa na uwaziri na huko TIC halafu sasa amekuwa ni mroho wa madaraka. This hoarding behavior is dispeakable and Sitta should be ashamed. Anna Makinda was elected by the MPs and she is very capable of running Bunges business in the absense of the Speaker. Sitta and Lowassa have the same interests...protecting the real culprits behind Richmond and BoT deals!!!
 
Kwa sasa CCM na hasa Sitta kesha waamsha Watanzanai na sasa watafuatilia kwa kiasi kikubwa kuliko ambavyo wangali endelea kawaida .Mwisho naona watazuia TVT ya Mhando kwenda LIVE ili kufika matukio .Nina wasi wasi huo sasa.

Siku ya kukamatwa nyani miti yooote huteleza. Ndiyo hivyo tena mambo yameanza.

This should be a non-stop move.

God bless!!
 
Mimi nataka kuisikia sababu iliyomfanya aahirishe. Vinginevyo, aidha kuna kujiuzulu kwa baraza la mawaziri au kujiuzulu kwa Waziri Mkuu.

Mwkjj,
Mkuu JK anasema "umemsoma"
Nalokupendea ni kuwa, baada ya ukengeufu wa Mushi humu ndani, umekuwa "Mzee wa vidokezo" Najua hupendi kumwaga mtama ... lakini ujumbe muruha wafika yakhee!

Bravo Mwkjj!
 
Jamani mimi sioni kitu TVT jioni kwa kipindi cha Bungeni LIVE. Kuna mtu anaweza kunipasha yanayo endelea ?
 
Jamani mbona Bunge liko tupu ? Ina maana wabunge wako semina ama kuna kitu gani ?
 
wabunge wanasubiri report ya Richmond na EPA, miswaada Baadae.
Sasa kamati ya Chama sijui imeishia wapi?
 
Back
Top Bottom