Spika amlima barua Rais akitaka maelezo kwanini usalama walivamia Bunge

Spika amlima barua Rais akitaka maelezo kwanini usalama walivamia Bunge

Huyu wetu ni butu haijawahi tokea.
Hawezi fanya hivyo.
 
Wanaomsifia huyo Spika ni kuwa hamjui Siasa za Uganda ama vipi??
Hayo ni maigizo tu,huyo Spika ndio Mkingaji kifua wa kwanza kwa Rais M7,huyo ndo alichangia kupitisha ongezeko la miaka ya kugombea hadi 70+ huyo ndiye aliyeruhusu mjadala wa Kuongoza hadi kifo uendelee mbele licha ya upinzani kuupinga vikali...

Swala la wale askari kuingia bungeni ni baada ya yeye kushindwa kuliendesha na kulicontrol bunge lake.

Hio ilikuwa baaada ya kuulizwa watu waliongi bungeni ni kinanani?? na je yeye ama segent at arm anawajua akabaki midomo wazi bila jibu so ndo akaanza kutafuta namna ya kujikwamua
maana upinzani ulishamwambia aombe msamaha kwa yalenyaliyotokea bungeni na yeye akagoma
sasa acha tusubiri itakuwaje na kunabkesi mahakamani inamhusu yeye
 
Back
Top Bottom