Wanaomsifia huyo Spika ni kuwa hamjui Siasa za Uganda ama vipi??
Hayo ni maigizo tu,huyo Spika ndio Mkingaji kifua wa kwanza kwa Rais M7,huyo ndo alichangia kupitisha ongezeko la miaka ya kugombea hadi 70+ huyo ndiye aliyeruhusu mjadala wa Kuongoza hadi kifo uendelee mbele licha ya upinzani kuupinga vikali...
Swala la wale askari kuingia bungeni ni baada ya yeye kushindwa kuliendesha na kulicontrol bunge lake.