Spika Bunge la Katiba: Mchuano ni kati ya Sitta na Chenge

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
Kutokana na taarifa za ikulu kuwa raisi atasaini mswada wa katiba mpya,
majina ya chenge na sitta ndo yanatajwa zaidi katika kinyanganyiro cha uspika.
Na kmbi rasmi bungeni ni cuf kutokana na kuwa na wabunge wa kutosha zanziba na bara

chadema bado aijatoa tamko kama itaomba kuhusiswa kutokana kuitolea nje cuf.

Lakini ni busara cuf wakichukua vijana wa chadema ambao sio wavurugaji kama mh zitto na mdee.

========
Feb 19, 2014
Feb 24, 2014
 
Hayo majina yamekuwa yakitajwa wapi?
Na ukisema vijana ambao sio wavurugaji ambao ni wavurugaji ni wakina nani? Acha kukurupuka njoo na taarifa kamili,kama huna unaweza kuchangia posts nyingine sio lazima uanzishe na wewe.
 
Hivi nani ali waambie kuwa Bunge la Katiba kitakuwa na kambi rasmi na KUB? Na wale wengine 166 ambao ni kutoka makundi mengine wataunda kambi ipi? .......Mnajipotosha wenyewe....
 
Ujinga mtupu! Hakuna kambi za aina hiyo bungeni. Kama kweli udaku toka ikulu, basi ikulu ni wajinga, waongo, wafitini na wazandiki
 
Unasemaje? Chenge awe spika wa bunge la katiba! Basi Tz itakuwa nchi ya marehemu wanaotembea.
 

Ngoja nikueleweshe ndugu yangu;Bunge la Katiba siyo la kisiasa ndiyo maana kutakuwa na wajumbe 166 kutoka nje ya bunge hivyo hakutakuwa na kambi rasmi ya serikali au kambi rasmi ya upinzani.
 
R.B na wewe kumbe ni mchochezi?Vijana wasio wavurugaji ni akina nani hao?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huyu Mnyarwanda R.B ni zezeta la kutupa. Anachokonoa kwa manufaa ya waliomtuma. Nashangaa operation kimbunga haijampeleka kwao.
 
We hazikutoshi kabisa yan unafikiria bunge la katiba liwe na kambi ya upinzan? Wanapinga nn sasa?
Je wale 166 wa kuteuliwa watakuwa kambi gan?
Nyie ccm mmelaaniwa kabisa.
 
Hivi nani ali waambie kuwa Bunge la Katiba kitakuwa na kambi rasmi na KUB? Na wale wengine 166 ambao ni kutoka makundi mengine wataunda kambi ipi? .......Mnajipotosha wenyewe....
Mkuu hayo huo ndo upeo wa buku 7 fc from lumumba. Wao wakisikia neno bunge basi wanajua kuna chama tawala na upinzani tu. BUNGE LA KATIBA HAKUNA MAKAMBI.
 

Lumumba buku 7 at work,msipoanzisha thead za kipuuza siku haiingii!poor you.
 
Hivi nani ali waambie kuwa Bunge la Katiba kitakuwa na kambi rasmi na KUB? Na wale wengine 166 ambao ni kutoka makundi mengine wataunda kambi ipi? .......Mnajipotosha wenyewe....

Bora umwemwambia mapema, maana Mitanzania bana...na shule na vyou vya kata basi taabu tupu. Watu kujazana ujinga tuuuu...
Bunge la katiba halina CHAMA TAWALA wala CHAMA PINZANI. Ni bunge lote kushambulia vifungu vya katiba moja baada ya moja na kuvipitsha au kuviandika upya ili viende kwa wananchi kwa uamuzi wa kura ya NDIYO au HAPANA.

Tafuteni maarifa jamani...vinginevyo mtabaki kuwa watazamaji ktk nchi yenu wenyewe.
 
nafikiri mtoa mada ameelewa, stakiw kuongeza chcht hapo
 
Watu wanadhani humu JF yeyote anaweza kukurupuka na kuweka ujinga wa kila aina. Huyu aliyeleta inaonesha hana upeo hata mdogo kabisa wa bunge la katiba. Mletaji wa hii mada, utafaidika na kuelimika zaidi kwa kusoma posts zinazoletwa humu na wenye ufahamu wa mambo kuliko kuleta vitu vya ajabu ambavyo huna uelewa navyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…