Kinuju
JF-Expert Member
- Mar 20, 2021
- 2,386
- 5,325
Spika wa bunge Dkt. Tulia Ackson amesema gazeti la Raia Mwema ni wapotoshaji wakubwa wa habari hapa nchini baada ya kutoa habari mfululizo za kulishambulia Bunge, Sabaya na Makonda bila ushahidi na sababu zozote.
Gazeti la Raia mwema limeandika habari inayosema "Bunge lapitisha muswada wa kuwalinda polisi wasishitakwe wakati wanajua bunge halijapitisha sheria ya aina hiyo.
Gazeti la Raia mwema limeandika habari inayosema "Bunge lapitisha muswada wa kuwalinda polisi wasishitakwe wakati wanajua bunge halijapitisha sheria ya aina hiyo.