Spika Dkt. Tulia alishambulia gazeti za Raia mwema, adai linaongoza kwa upotoshaji nchini

Gazeti limewahi kuja kukanusha uzushi wake, sasa wakati wanaandika walikuwa wanafikiria mini,
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sasa mliandika yanini wakati mnajua mnapotosha, au ndio ukanjanja wenyewe

20220209_112541.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hicho kipeperushi siku hizi anakiendesha KUBENEA.

Sasa tangu lini KUBENEA akawa mtu serious.

Yeye siku zote anauza UZUSHI na UNAFIKI.

Na Mara nyingi huwa SHUTUMA zake anazichongachonga kwa kuwahusisha TISS kwasababu anajua hawawezi KUJIBU.
Kwamba mahakama haijatoa agizo la Makonda kutangazwa kwenye gazeti na maeneo mengine?
 
Hicho kipeperushi siku hizi anakiendesha KUBENEA.

Sasa tangu lini KUBENEA akawa mtu seriou...
Mlisema Makonda hawezi kushitakiwa sasa yametimia baada ya mahakama kuridhia ashitakiwe na atafutwe ili ajibu tuhuma.

Ni gazeti hili hili lilianza kuandika kuhusu Sabaya kushitakiwa mkaanza kushupaza shingo hadi Sabaya kachezea mvua 30.

Makonda hachomoki ameingia kwenye anga za wenyewe.
 
Wasichokijua wanafikiri Saed pekee ndiye anayemshtaki Paul.

Saed ni kivuli tu...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlisema Makonda hawezi kushitakiwa sasa yametimia baada ya mahakama kuridhia ashitakiwe na atafutwe ili ajibu tuhuma.

Ni gazeti hili hili lilianza kuandika kuhusu Sabaya kushitakiwa mkaanza kushupaza shingo hadi Sabaya kachezea mvua 30.

Makonda hachomoki ameingia kwenye anga za wenyewe.
Sawa, Makonda anashtakiwa
 
Spika wa bunge Dkt. Tulia Ackson amesema gazeti la Raia Mwema ni wapotoshaji wakubwa wa habari hapa nchini baada ya kutoa habari mfululizo za kulishambulia Bunge, Sabaya na Makonda bila ushahidi na sababu zozote.

Gazeti la Raia mwema limeandika habari inayosema "Bunge lapitisha muswada wa kuwalinda polisi wasishitakwe wakati wanajua bunge halijapitisha sheria ya aina hiyo.

View attachment 2113515

View attachment 2113345
Kwa hili tulia ametulia kabisa na yupo sahihi, na wawaongeze na itv na gazeti la nipashe yaan utazan wapo nchi nyingne, wanazusha tuuuu, kila kukicha makonda sabaya bunge cjui police yaan in negative way hawana zr hata!! Halafu ndo mnasema Uhuru wa vyombo vya habar
 
Spika wa bunge Dkt. Tulia Ackson amesema gazeti la Raia Mwema ni wapotoshaji wakubwa wa habari hapa nchini baada ya kutoa habari mfululizo za kulishambulia Bunge, Sabaya na Makonda bila ushahidi na sababu zozote.

Gazeti la Raia mwema limeandika habari inayosema "Bunge lapitisha muswada wa kuwalinda polisi wasishitakwe wakati wanajua bunge halijapitisha sheria ya aina hiyo.

View attachment 2113515

View attachment 2113345
Ameshaanza kuota mapembe
 
Tunajua alivyopata ubunge, asicheze na media. Akijua matawi Kuna wanaojua mizizi.
Kiburi Cha Ndugai Kiko wapi ?
Kiburi Cha makonda Kiko wapi?
Kiburi Cha mpangaji wa kisongo 7ya ki wapi?
Kiburi Cha Lugora alichomfanyia mkuu wa magereza Kiko wapi?

Hizi nafasi za kuteuliwa ni Kama koti la kuazima tu.
 
Back
Top Bottom