eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Jiwe gizani la gazeti la UHURU: Mwaka 2025 Rais Samia hagombei Urais. Gazeti likapigwa rungu siku 6.Kuna jiwe lilirushwa gizani kwenye gazeti la uhuru hadi wakapewa adhabu ya kufungiwa, chezea jiwe gizani wewe..............
Kwamba mahakama haijatoa agizo la Makonda kutangazwa kwenye gazeti na maeneo mengine?Hicho kipeperushi siku hizi anakiendesha KUBENEA.
Sasa tangu lini KUBENEA akawa mtu serious.
Yeye siku zote anauza UZUSHI na UNAFIKI.
Na Mara nyingi huwa SHUTUMA zake anazichongachonga kwa kuwahusisha TISS kwasababu anajua hawawezi KUJIBU.
Mlisema Makonda hawezi kushitakiwa sasa yametimia baada ya mahakama kuridhia ashitakiwe na atafutwe ili ajibu tuhuma.Hicho kipeperushi siku hizi anakiendesha KUBENEA.
Sasa tangu lini KUBENEA akawa mtu seriou...
Wasichokijua wanafikiri Saed pekee ndiye anayemshtaki Paul.Mlisema Makonda hawezi kushitakiwa sasa yametimia baada ya mahakama kuridhia ashitakiwe na atafutwe ili ajibu tuhuma.
Ni gazeti hili hili lilianza kuandika kuhusu Sabaya kushitakiwa mkaanza kushupaza shingo hadi Sabaya kachezea mvua 30.
Makonda hachomoki ameingia kwenye anga za wenyewe.
Sawa, Makonda anashtakiwaMlisema Makonda hawezi kushitakiwa sasa yametimia baada ya mahakama kuridhia ashitakiwe na atafutwe ili ajibu tuhuma.
Ni gazeti hili hili lilianza kuandika kuhusu Sabaya kushitakiwa mkaanza kushupaza shingo hadi Sabaya kachezea mvua 30.
Makonda hachomoki ameingia kwenye anga za wenyewe.
Kwa hili tulia ametulia kabisa na yupo sahihi, na wawaongeze na itv na gazeti la nipashe yaan utazan wapo nchi nyingne, wanazusha tuuuu, kila kukicha makonda sabaya bunge cjui police yaan in negative way hawana zr hata!! Halafu ndo mnasema Uhuru wa vyombo vya habarSpika wa bunge Dkt. Tulia Ackson amesema gazeti la Raia Mwema ni wapotoshaji wakubwa wa habari hapa nchini baada ya kutoa habari mfululizo za kulishambulia Bunge, Sabaya na Makonda bila ushahidi na sababu zozote.
Gazeti la Raia mwema limeandika habari inayosema "Bunge lapitisha muswada wa kuwalinda polisi wasishitakwe wakati wanajua bunge halijapitisha sheria ya aina hiyo.
View attachment 2113515
View attachment 2113345
Ameshaanza kuota mapembeSpika wa bunge Dkt. Tulia Ackson amesema gazeti la Raia Mwema ni wapotoshaji wakubwa wa habari hapa nchini baada ya kutoa habari mfululizo za kulishambulia Bunge, Sabaya na Makonda bila ushahidi na sababu zozote.
Gazeti la Raia mwema limeandika habari inayosema "Bunge lapitisha muswada wa kuwalinda polisi wasishitakwe wakati wanajua bunge halijapitisha sheria ya aina hiyo.
View attachment 2113515
View attachment 2113345
Anatafuta laanaAnataka wahariri wake wahojiwe kama alivyofanya Job kwa Mayalla?