PreGE2025 Spika Dkt. Tulia awapeleka Gambo na Mchengerwa kamati ya Maadili, mvutano watokea Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Spika alikosa subira.

Gambo alikuwa anatoa clarification ya cheo chake wakati wa tukio la ujenzi ili kuweka hansad sawa.

kabebeshwa kosa la kusema mkwe wa raisi mwongo.

sidhani kama atachomoa huko.

mwisho wake kwenye chama cha mboga mboga umeshafika.

#NoReformsNoElection
 
Ccm wote ni majizi, sasa unapambana na mkwe wa Rais unategemea nini! Hapo hata spika,ana kuogopa mchengerwa, badala ya, kutoa mwongozo, anaona hili zigo amsukumie mwenye kiting wa kamati
 
Kuna RC analindwa Kwa ufisadi
 
Hz n sinema za CCM kwa CCM. Akuna utendaji kwa watanganyika.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Masikini Gambo kajipalia mkaa kichwani.

MamaSamia2025 ChoiceVariable
 
Hao mbogamboga ni kama familia moja tu
wamezungukana kwenye dili..watamalizana watalambishana asali kimyakimya

Yale yale hakuna jipya hapo!
 
kinachoonekana kuna upande unatetewa kwa nguvu sana.. gambo yupo sahihi
Mjinga tu hayupo sahihi, anajichanganya mwenyewe baada ya kusikia anapelekwa kwenye kamati.
 
Wote waouvu tu hao,Huyo Mkwe ni mwizi wa Uchaguzi,gambo nae mgomvi na Mchonganishi kwahio watajuana wenyewe huko,acha waparuane
 
Mwenye kifua kipana ataibuka mshindi kwani mbeleko ya mama mkwe ina mbeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…