PreGE2025 Spika Dkt. Tulia awapeleka Gambo na Mchengerwa kamati ya Maadili, mvutano watokea Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uko wapi Choice Variable uje ushuhudie jinsi yale tunayosema kila siku juu ya Ufisadi wa miradi ya Samia! Mchengerwa ni mkwe wake na Makonda ni kijana wake na ufisadi huu wa majengo unafanyika Arusha kwa mtoto wa mama!! Hapa huoni kuwa mama anapata mshiko wake kutokana na hii overinvoicing ya kwenye miradi ?
No wonder Makonda anaweza kuchinja ng ‘ombe 40 na kuwalisha wananchi wa Arusha!! Haiwezekani kutoka mshahara wake!
Serikali hii inanuka RUSHWA.😂😂
 
Bye bye Gambo, ubunge ama uteuzi atausikia kwenye bomba.

Anagombana na nyonga mkalia ini wa mtoto wa mama.
 
Unajua waliambiwa, ukiua upinzani wa nje utapambana na upinzani wa ndani. Acha waparurane wao kwa wao
Hiyo ni chadema au huoni kina COVID-19,G-55? Hapo kuna chama tena? CCM ni jabali haiwezi kuyumba kirahisi, hapo wameraruana wapi, spika amefuata utaratibu wa kibunge kupata ukweli. Nyie nyumbu ni zero brain kwerikweri
 
Tulia kazi yake ni kutetea Serikali na wala siyo kulinda wabunge
 
MCHENGERWA AMEKOSEA SANA YANAPOKUWEPO MADAI YA NAMNA HII, NI BUDI KUWA MPOLE NA KUTAFUTA NAMNA YA KU SOLVE, AIDHA TUME IUNDWE IPEWE SIKU 7,KUFUATILIA HILI.
 
Ngedere watatu wanaoneana wivu katika styles zao za utafunaji mahindi mabichi ya wizi.Bloody pagans!
 
Mchengerwa kwa kutumia uhusiano wake na samia anapiga pesa za umma vibaya sana. Kwa sasa yeye na mwigulu wanatambiana kwa mabilioni wanayomiliki
 
Huyo spika ndio zake, kazi yake ni kuilinda serekali. Huwa hana subira ukiibana serekali. Hata hivyo acha Gambo akutane na huo upuuzi aliokuwa anaona sawa wapinzani wakifanyiwa.
 
Reactions: 004
Ila huyu dada Khaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…