Ngoja nikueleze kitu mkuu 'Burkinabe', au nikukumbushe tu kama umesahau.
Hiyo ni mbinu ya kutuliza mnkali.
Kama wakati ule kulikuwa na baadhi ya wabunge waliopata homa juu ya ripoti ile, homa yao ilishatulizwa kwa mbinu hiyo.
Kwa hiyo, hata kama hiyo ripoti ya CAG itawasilishwa kujadiliwa bungeni, usitegemee lolote la maana kutokana na mjadala huo. watatimiza tu wajibu wao wa kujadili na kupoteza muda.