Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

Katiba ya CHADEMA ipo chini ya Katiba ya Tanzania.

Kwa kuwa hawajaipata haki yao kwenye Katiba ya Chama, wana nafasi ya kuitafuta kupitia Katiba ya Nchi.

Chama siyo mali ya mtu binafsi, ila umma.
 
Mkuu,

Sheria inamtaka speaker kuwaondoa hao wabunge kama barua imetoka kwenye mamlaka halali ya chama.
Maswala ya haki ilitendeka au haikutendeka sio kazi ya speaker alipaswa kuachia mahakama iamue.

Kama walikua wanataka kuendelea kubaki walipaswa wampelekee speaker amri ya mahakama inayomtaka speaker asifanye maamuzi ya kuwaondoa bungeni mpaka mahakama itakapofanya uamuzi.

Je speaker ni chombo cha kutoa haki? Je huoni alichofamya speaker ni kuingilia mamlaka zingine? Je amewaacha kwa kutumia mamlaka ipi kisheria? Maana hata tamko lake hakusema kisheria.

Kwa speaker kutowafukuza ilihali hakuwa na mari ya mahakama speaker amevunja sheria. Pili kusema haki haijatendeka hivyoanaiachia mahakama ni kuiprempty mahakama kwamba haki haijafanyika wakati yeye sio chombo cha haki.

Mari ya mahakama iliyotolewa haina maana yeyote maana tayari speaker alishafanya maamuzi ya kuwalinda.
 
sHULE MUHIMU SANA, KUTOA TARIFA MANA YAKE NI NIA YA KUKATA RUFAA. KWANI HATA HILI NALO LINAHITAJI DEGREE KULIFAHAMU?
 
Twakumbuka zile siri alizokuwa nazo Mhe Lwakatare. Yaonekana ulikuwa pamoja na Kamanda Sirro. Haya twakusubiri


IGP SIRRO - "MBOWE SIO MALAIKA, WALIPANGA KUCHOMA VISIMA Vya MA
7.4K views9 months ago
YouTubeGlobal TV Online

Sirro: Chadema wanaona mwenyekiti wao ameonewa, lakini yeye si malaika anaju
15K views9 months ago
YouTubeBBC News Swahili





 
Siku kibatala atakapo omba nakala na barua toka CHADEMA iliyowateua Hawa covid 19 , na Nusrat fomu yake ya iteuzi aliosaini saa ngapi akiwa mahabusu na alitolewa mahabusu kwa sheria ipi hapo ndipo paskali utakapo tafuta bandiko jipya ....
 

You nailed it. Ukitazama mabandiko yote ya Paskali sio utetezi wa kisheria, bali ni makubaliano ya kina Mdee na Mbowe huko vichochoroni. Hayo yako sehemu yoyote. Sisi tunaangalia makubaliano ya wazi na sio hizo porojo za nje ya uwanja. Nimepongeza sana msimamo wa wajumbe wa CDM, hayo makubaliano ya kihuni ya Mbowe na hilo genge lake watajuana.
 
Oooh najiondoa Jamiiforums...teh teh akili za kisoda
 
Kwanini wasimpige chini?

Chama kimefanyiwa Uhuni mara kadhaa
Wanakaa Kimya

Mwisho wa uhuni umefika na sio kwa shinikizo la ccm, bali kwa ushahidi usioacha shaka. Hata hapo alipo Mbowe sasa anaanza kujua fika watu wamemshtukia. Sitegemei kama atafika 2025 akiwa bado mwenyekiti. Vuta subira utaelewa. Alifanikiwa kuchomoka kwenye ile blunder ya Lowassa, lakini kwa sasa hachomoki.
 
Bunge ni taasisi, mahakama isingeweza kuingilia mamlaka ya bunge, kama ilivyotokea jana kwamba kina Halima wameshaenda mahakamani hivyo spika anasubiri maamuzi ya mahakama

Umeelewa sasa
 
Mafanikio ya Chadema yanaumiza wengi sana ile consistence yao inawapa wakati mgumu mmegawana kila kona kupiga kwa namna tofauti ila kundi halitawanyiki ila ipo siku isiyonajina mtakubali matokeo let's wait and see.
 
Mwisho wa siku na wewe unabuni tu. Maana ungeweka alichoongea nao ungeeleweka. Mala heche mala msiba mala afya mala gerezani kila jumapili. Lishikwe lipi?
 

Ww hujishikizi ccm, bali uko ccm. Kama ni kweli hutaki chama cha kihuni basi ccm ilipaswa kuwa saratani kwako kuliko ilivyo CDM. Unajifanya hauko ccm, lakini sentensi zako hazikubebi kwenye hilo, mahaba hayajifichi.
 
Hivi nyie manazi wa chadema msichoelewa ni nini?

Umeambiwa wameshaenda mahakamani kupinga kufukuzwa uanachama, sasa spika angefanyaje maamuzi juu ya suala lililoko mahakamani?
 
Katiba ya CHADEMA ipo chini ya Katiba ya Tanzania.

Kwa kuwa hawajaipata haki yao kwa kupitia Katiba ya Chama, wana nafasi ya kuitafuta kupitia Katiba ya Nchi.

Chama siyo mali ya mtu binafsi, ila umma.
Mbona hiyo Katina haikumlinda Lisu? Aliposhambulia Kuna watu mazezeta Sana hii nchi.
 
Barua yenye sahihi ya mtu mmoja tubhaiwezi kuwa kiambatanisho sahihi, chama ni kikundi cha watu na maamuzi yanafanyika kwa pamoja , je hiyo barua iliambataniswa na resolution (muhtasar)inayonakili maamuzi hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…