Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

Siku Chadema wakianza kuambiana ukweli wenyewe ndio tutajenga upinzani imara! Inawezekana sisi wengine tusiaminike lakini within your circles lazima muaminiane na kuambiana ukweli. Acheni kuamini kila matakwa au tamko la mtu wenu ndio ukweli.
 
Katiba ya CHADEMA ipo chini ya Katiba ya Tanzania.

Kwa kuwa hawajaipata haki yao kwa kupitia Katiba ya Chama, wana nafasi ya kuitafuta kupitia Katiba ya Nchi.

Chama siyo mali ya mtu binafsi, ila umma.
Acha upumbavu,nani na wapi pameandikwa kuwa katiba ya CDM ipo chini ya katiba ya nchi?tatizo la dot.com ni pamoja na kuwa wavivu wa kutafuta facts, nchi inaendeshwa kwa katiba ya kidikiteta ndio maana katiba mpya ni muhimu, vyama vya kisiasa vitawajibika kwa NEC na kujisajili kwao sio msajili wa vyama (ofisi hii ni ya kimichongo)
 
Paschal inabidi afungue darasa la kufundisha watu kusoma hoja zake between lines.Vinginevyo P unapoteza muda.Paschal kaelezea mstari kwa mstari na kila mstari umeshiba.Mimi nimeelewa na kushawishika pasi na shaka kwamba kwa hili la Halima&co lazima wakubwa wa CDM mpoteane labda tuombe hekima isimame lakini kiukweli kwa pilato mtu maarufu anakwenda kuaibika.
 
Kama Mbowe ndo mhusika, yule aliyekuwa gerezani alimtoaje huko haraka haraka akawahi kuapishwa?
 
CHADEMA imechukua hatua za kinidhamu dhidi ya waliokuwa wanachama wake. Katika jicho la CHADEMA, Mdee na wenzake sio Wabunge ni waliokuwa wanachama wake waliongizwa bungeni kwa forgery. Jukumu la kuwavua ubunge ni la Spika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Mchezaji wa Blackpool kajitangaza hadharani,je hivi huwa ni kweli?
 
sHULE MUHIMU SANA, KUTOA TARIFA MANA YAKE NI NIA YA KUKATA RUFAA. KWANI HATA HILI NALO LINAHITAJI DEGREE KULIFAHAMU?
Kwani sabaya alivyosema anakusudia kukata rufaa alikaa uraiani ama aliendelea kukaa jela mpaka amri ya mahakama itoke. Sasa speaker hakuwa na amri yeyote au maandishi ya kisheria yaliyomlazimu kutokufanya maamuzi. Huhitaji kuwa mwanasheria kulifahamu hilo
 
Hizi thread zako, acha kuziita kuwa ni kwa maslahi ya Taifa. Nyingi hazina chochote cha maana zaidi ya unafiki, uwongo na mahaba yako.

Andika unachokitaka, wasomaji ndio watakaoamia kama ni kwa maslahi ya Taifa au ni kwa maslahi ya tumbo au unafiki wako. Usilazimishe kuwa eti ni kwa maslahi ya Taifa, wakati nyingi hazina chochote cha maana.

Huna tofauti na wale walikuwa kila siku wanaimba uzalendo, huku wakipora pesa za watu na kuziweka mifukoni mwao, na wakifanya upendeleo na chuki za wazi.
 
Kama sio kazi ya Bunge au Spika kuhoji wabunge wamepatikanaje, as long as Barua ya utambulisho ya NEC imemfikia then ni authentic letter, je bunge linatoa wapi haki ya kuhoji taratibu zilizofuatwa na CHADEMA? Baada ya kupokea barua.

Kwanini haki hiyo wasingekwenda kuomba mahakamani baada ya Spika kufuata katiba ya nchi ambayo inataka Mbunge kutokana na chama?
 
Kama maelezo yako ni kweli basi CDM wana matatizo makubwa sana. Naamini chama kilipaswa kuwashughulikia wahuni wote kwa pamoja.
Sio kuwatoa kafara kina Mdee kumlinda Mwenyekiti au mtu mwingine yeyote.
 
Pointi yako namba tatu inahitaji uthibitisho/evidence, mara nyingi huwa unakuja na maneno mengi bila ushahidi wowote unapoteza maana, hapa ndipo unapothibitisha ukada wako na kuilinda CCM yako.

Wewe kila siku kuna kigogo aliruhusu.. kigogo aliruhu...kumtaja hutaki, sasa unataka uaminiwe na nani kwa kauli zako za mafumbo hizi?

Yule mwenyekiti wa Tume kwa issue sensitive kama hii, na wanavyopenda kufanya kazi ili kuwalinda CCM, lazima angekuja na ushahidi siku nyingi kuwamaliza Chadema, lakini yupo kimya mpaka leo.

Una hasira na Chadema tangu walipomtimua Zitto, na hasira zako mara nyingi unazielekeza kwa Mbowe, nakufahamu muda mrefu sana kwa huu mtazamo wako.
 
Naona unajigeuza msemaji wa akina Mdee kurudisha heshima uliyoipoteza humu, kwani wao hawana midomo?

Mbowe alishasema atakuwa wa mwisho ku-betray Chadema, kama wewe unaushahidi wa tofauti weka hapa, sio unatutajia jina la mtu mwingine ili kuficha udhaifu wa hoja yako.

Kila siku unaibuka na habari za "insider" feki mwishowe unathibitika ni uongo tu, jifunze kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…