Mimi nilijua kiuchumi?Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kufanya vizuri zaidi ya baadhi ya Viongozi wa kiume akieleza kuwa mafanikio yake ni ushahidi wa uwezo mkubwa wa Wanawake katika uongozi.
Dkt. Tulia Ackson ameyasema hayo alipohutubia kongamano la Wanawake wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) lililofanyika Jijini Dar es Salaam likiwakutanisha zaidi ya Wanawake 1,000 kutoka Shirika hilo.
Katika hotuba yake amewahamasisha Wanawake walioko kwenye nafasi za maamuzi ambapo Spika Tulia amewataka kutokuwa wanyonge kwa sababu ya jinsia yao na kuendelea kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya Taifa.
Ameongeza kuwa kwa sasa Tanzania inashika nafasi ya 64 kati ya Nchi 146 duniani katika ajenda ya maendeleo ya kijinsia na ipo miongoni mwa Nchi 10 bora Barani Afrika zinazofanya jitihada madhubuti za kufikia usawa wa kijinsia.
My Take
Sasa Samia ana kipya gani zaidi ya mamiradi ya JPM
Itabidi wanaume tuandamane hii ni zarau sasaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kufanya vizuri zaidi ya baadhi ya Viongozi wa kiume akieleza kuwa mafanikio yake ni ushahidi wa uwezo mkubwa wa Wanawake katika uongozi.
Dkt. Tulia Ackson ameyasema hayo alipohutubia kongamano la Wanawake wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) lililofanyika Jijini Dar es Salaam likiwakutanisha zaidi ya Wanawake 1,000 kutoka Shirika hilo.
Katika hotuba yake amewahamasisha Wanawake walioko kwenye nafasi za maamuzi ambapo Spika Tulia amewataka kutokuwa wanyonge kwa sababu ya jinsia yao na kuendelea kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya Taifa.
Ameongeza kuwa kwa sasa Tanzania inashika nafasi ya 64 kati ya Nchi 146 duniani katika ajenda ya maendeleo ya kijinsia na ipo miongoni mwa Nchi 10 bora Barani Afrika zinazofanya jitihada madhubuti za kufikia usawa wa kijinsia.
My Take
Sasa Samia ana kipya gani zaidi ya mamiradi ya JPM
Nimemfikiria mama yangu ghafla nikawa mpole bila sababu nyingine ya ziada!Itabidi wanaume tuandamane hii ni zarau sasa
Mlitegemea asemaje sasa?Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kufanya vizuri zaidi ya baadhi ya Viongozi wa kiume akieleza kuwa mafanikio yake ni ushahidi wa uwezo mkubwa wa Wanawake katika uongozi.
Dkt. Tulia Ackson ameyasema hayo alipohutubia kongamano la Wanawake wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) lililofanyika Jijini Dar es Salaam likiwakutanisha zaidi ya Wanawake 1,000 kutoka Shirika hilo.
Katika hotuba yake amewahamasisha Wanawake walioko kwenye nafasi za maamuzi ambapo Spika Tulia amewataka kutokuwa wanyonge kwa sababu ya jinsia yao na kuendelea kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya Taifa.
Ameongeza kuwa kwa sasa Tanzania inashika nafasi ya 64 kati ya Nchi 146 duniani katika ajenda ya maendeleo ya kijinsia na ipo miongoni mwa Nchi 10 bora Barani Afrika zinazofanya jitihada madhubuti za kufikia usawa wa kijinsia.
My Take
Sasa Samia ana kipya gani zaidi ya mamiradi ya JPM
Mlitegemea asemaje sasa?mtamuonea bure tu, kutembea na king'ora sio mchezo, madaraka matamuWananchi tumetukanwa waziwazi 😣
Hao wanume ni akina nani?Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kufanya vizuri zaidi ya baadhi ya Viongozi wa kiume akieleza kuwa mafanikio yake ni ushahidi wa uwezo mkubwa wa Wanawake katika uongozi.