Naona hajui ukubwa wake akaongea tu kama Mpoki.Faida gani alizoangalia wakati tayari tuna bandari kubwa 3 yaani Dsm, Tanga na Mtwara?
Spika unaongeaje bila utafiti wala data?!!!
Huyu spika hovyo kabisa, bora angekaa kimya afiche ujinga wake. Eti hakuuona mkataba kwa cheo chake ni upumbavu kutokusoma mkataba ambao bunge lilitakiwa kuuridhia.
Spika anajipendekeza kwa raisJpm akibadirisha msimamo Na yeye anabadilika[emoji16]
Umeona eeSpika anajipendekeza kwa rais