Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha

Spika Job Ndugai: Kutokana na masharti ya Mradi wa Bandari Bagamoyo, ni sahihi Serikali kuusitisha

Huyu spika hovyo kabisa, bora angekaa kimya afiche ujinga wake. Eti hakuuona mkataba kwa cheo chake ni upumbavu kutokusoma mkataba ambao bunge lilitakiwa kuuridhia.

Mkataba kauona lakini hakuuelewa. Mkataba wa page zaidi ya 500 angeuelewa vipi? Ilani ya ccm tu yenyewe haielewi ndio itakuwa huo mkataba wa kimataifa? Hao ni wale wanawauliza wawekezaji kwamba ndani ya huo mkataba nchi itapata faida gani, wao wanamuambia faida bila mengineyo maana hajayaulizia.
 

Basi tatizo la Ndugai ni kuwa na kiherehere kama round ya kwanza. Angekuwa na subira asingepiga watu fimbo za kichwa, kuwafukuza ubunge, kusema wabunge wasifanye kazi na CAG au hata kumwamrisha Masele aje kutoka kikao cha Bunge la Afrika!

Angeomba kuelimishwa kabla ya kuropoka Bungeni eti kusimamisha Bandari ya Bagamoyo ni sawa na kuweka mkokoteni mbele ya punda.
 
kwa hiyo ndugu Spika ulifanya negative comments bila hata kuuona mkataba wenyewe siyo!!
 
Alisema alikutana na wachina na mkataba aliusoma ni wa faida kwetu?Sasa anageuka tena?Ifike mahali mikataba iwe wazi na wananchi tuweze kusoma ili tuchambue wenyewe mbichi na mbivu.
 
Huyu spika kunamuda nikilaza sana..
Mimi nilishangaa pale alipoitusi serkali aliposema mkokoteni unavuta punda..

Pasipo kuelewa yy ndie punda aliekua anavutwa na mkokoteni(mchina)
 
Alipaswa kufanya utafiti kwanza kabla ya kutoa kauli ya kejeli kwa serikali.
 
Huyu jamaa ni kituko kikuu na sipika wa hovyo zaidi kutokea dunia ianze kuwa na serikali zenye mabunge
 
Kwa kweli nimeshindwa hata kuamini kama kilichoandikiwa ni sahihi au waandishi wamefanya usanii. Spika wa Bunge, Kiongozi wa mhimili muhimu wa nchi hakujua yaliyomo ndani ya mkataba mzito namna hiyo? Chama kinatakiwa kuchunguza kwa kina uwezo wa huyu Spika ikibidi abadilishwe mara moja. Hii ni aibu kwa nchi nzima.
 
[emoji3][emoji3]. kwani hyo mikataba ilisainiwa Leo?
Gay mjanja Mjanja TU.
 
Ndiposa twasema bunge ni dhaifu...
kiongozi wa chombo cha kuishauri serikali anashauri asokijua.
Vijana hasio na adabu eti wanasema bunge na spika ndokama mkokoteni na ng'ombe!! sio Mimi nmesema lkn...
 
Back
Top Bottom