Spika kumpongeza January Makamba ni kujirudi?

Spika kumpongeza January Makamba ni kujirudi?

Ameanza kuchungulia mwanya. Kuanzia sasa atakuwa anaongea ongea hata kwenye media ili mama amuone

Hapana, January amekwisha fanya kazi na wote hao hivyo nategemea atakuwa kwenye CABINET; lakini itambidi awe na heshima na adabu ya ziara, aache mambo ya kitoto asifikiri mambo anayofanya na hao wenzie watu wenye akili hawayajui!
 
Samahani nje na ndani ya Mada.
Kwanini tangazo la msiba wa mpendwa wetu hayati Magufuli alitangaza Mh.Samia bila kuwepo waandishi wa habari na pia mimbari/podium aliyotumia apakuwepo nembo ya JMT (Coat of Arm)?
Pia ukiangalia kwa umakini sana tangazo la Mh.Samia alikua moja kwa moja kabisa
 
Alikuwa Tanga kwenye ziara ya kikazi, ulitaka hadi arudi Dsm au Dodoma ndio atangaze msiba?
 
CCM hawanaga ugomvi wa milele,ufika pahala wakasameheana na wakawa wamoja.

Watakao uumbuka sasa ni hawa kwiyo wa mitandaoni wasubiri matukio.
 
Katika Serikali ya CCM Ndugai pia angetangulia mbele ya haki ingekuwa bora zaidi maana maana kafanya mambo ya ajabu kweli...
 
Siyo utakiwi ni Hutakiwi. ulisoma wapi lugha ya Kiswahili au ni......
 
Back
Top Bottom