chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,982
Na jeneza halitafunguliwa kutoa heshima za mwishoKwanini watu kumi tu!?
Nje kidogo ya mada:-
Hivi mamlaka zimeshindwa kabisa kutuonyesha hata video ya maziko ya balali?
Hata bungeni kuagwa?Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Alizikwa na nani kama hakuna walio hudhuria Mkuu?.Idadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!
Aagwe bungeni, uwekwe utaratibu mzuri tu ili wabunge wapangwe kama wanavyopangwa sasa!Azikwe na umati sio
Kama ni suala la kuepuka msongamano tu, kwa nini mahali pa kuzikia iwe ishu ya kuiomba serikali? Unataka kusema misiba yooote sasa mzikaji ni serikali? Mbona wengi wamezikwa na ndugu zao?Hiyo ni corona au kinga dhidi ya corona? Mtu akizikwa na umati wa watu na wakaambukizana corona nani atalaumiwa?
Kwanin hajaagwa bungeni?Hiyo ni corona au kinga dhidi ya corona? Mtu akizikwa na umati wa watu na wakaambukizana corona nani atalaumiwa?
Mjinga wewe, mbona kanisani wanakusanyika na hawakatazwi? Tumia akili!Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Kwanini familia iiombe serikali wazike kwenye eneo la kanisa? Familia haina mamlaka ya kuamua azikwe wapi mpaka waiombe serikali?Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!