Spika mstaafu Tulia Ackson ana Siri ipi?

Mtu mwenye access na taarifa za ndani ambazo destabilize Kiburi cha samia.

Kwa bahati mbaya wengi wanapotezwa hata kabla hawajuzungumza chochote.
 
Mara hii amegeuka mwanafalsafa. Kukosa cheo tu anajifanya plato, je angeishi maisha yetu ya kuunga unga huku Unga Limited si angegeuka Mungu kabisa.
 
Mara hii amegeuka mwanafalsafa. Kukosa cheo tu anajifanya plato, je angeishi maisha yetu ya kuunga unga huku Unga Limited si angegeuka Mungu kabisa.
Watanzania watu wapo upande wetu kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…