dah mkutano gani watu wanaenda na madictionary
Dictionary ya kwenye simu
Nilidhani unamzungumzia spika wa sasa bi Kiroboto.
Si vizuri kuwasema watu tunaowaheshimu na ambao ni marehemu.Mtoa mada angeondoa jina la huyo spika na kuweka jingine la kubuni nakuedit vitu vingine, hii thread ingekuwa ok sana.Hi story tulikuwa tuna ambiwa zamani tukiwa watoto sina uhakika kama ni ya ukweli. Spika Marehemu Adam sapi Alikuwa anaongea kwenye mkutano wa UN wakati sauzi Afrika haijapata Uhuru,akasema. I am very mbifile kuhusu south Africa. Mbifile ki hehe ni "kuchukia" Watu mkutanoni wakaanza kupekua dictionary kutafuta "mbifile"inamaana gani.
Nilidhani unamzungumzia spika wa sasa bi Kiroboto.