johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😂😂😂😂Wanakuja kutuambukiza huku mtaani
Spika Ndugai ameomba Mungu awasaidie wakutane tena uso kwa uso!Sidhani Kama watarudi wote hiyo March.
Walau izrael asepe nawawili tuSidhani Kama watarudi wote hiyo March.
Ni jambo jema.Spika wa bunge Mh. Ndugai ameahirisha vikao vya bunge hadi watakapokutana tena kwenye mkutano wa vikao vya bajeti mwezi March, 30.
Spika amewataka wabunge kuchukua tahadhari ya afya zao kulingana na miongozo inayotolewa na wizara ya afya kadhalika amewataka wabunge na madereva wao wawe makini wawapo barabarani na kuacha tabia ya kukimbia kimbia hovyo.
Mwisho, Spika Ndugai amewataka wabunge wote kukusanyika kwenye viwanja vya bunge ili kutoa heshima za mwisho kwa mbunge wa Muhambwe aliyefariki dunia kwa ajali.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
Hii point.Spika Ndugai ameomba Mungu awasaidie wakutane tena uso kwa uso!
Wakiacha tabia ya kusolve matatizo kwa kujidanganya kwamba hayapo basi hata Mungu atawasaidia.Spika Ndugai ameomba Mungu awasaidie wakutane tena uso kwa uso!
Wanaenda kushiriki champion league hatua ya Makundi ili kujua nani atapanda na nani atashuka!Sababu za kuahirisha bunge ni zipi!?
MsibaSababu za kuahirisha bunge ni zipi!?