Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Mkuu yaani wafanye kikao kwa njia video conference, halafu hizo posho za kikao watapataje??Heeee! Mara hii tu wameahirisha tena? Gharama zote hizo za nini ni bora wakafanyia vikao hivyo ZOOM.
Nchi hii tamu eti 😀😀