Acha wafu wazike wafu waoSpika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327

Spika ni kama unaingiwa na roho mtakatifu kwa sasa.Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.
Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Wagawane Ili iwaje? Hakuna pesa ya serikali inatoka hovyo wewe kima? Ukiona watu wamelipwa posho ujue ni Halaliwe jamaa hovyo sana. kwani issue mambo ya serikali kwenda au watu kulipana posho zisizo za msingi. hawa tuchukulie pesa zote za miradi zimepelekwa, kwa hiyo unataka kusema kitakachobakia wagane
Laana ya kumuua Rais wa nchiNauona mnara wa babeli
Kwani siku zote hizo nani amekuwa akicontrol hayo matumizi ya serikali?Nini maana ya makao makuu ya serikali kuwa Dodoma? na hiyo siyo maneno ya blah blah ni sheria......Dar ni commercial capital kama ilivyo Lagos kule Nigeria kadri watu wanavyoendelea kukamuliwa tozo ndo na safari za vigogo Dar-Dom, Dom-Dar zinavyoongezeka. Swali lililoulizwa hapa ni nani ana control government expenditure?
Hebu wacha uzushi na weweLaana ya kumuua Rais wa nchi
Kwani kujenga Ikulu Dododma siyo halali?Alikuwa hajui mradi wa makao makuu Dodoma ni tembo mweupe anaye angamiza kodi za Watanzania? Angeishangaa sheria ya Makao makuu Dodoma ilivyopitishwa bungeni ili iende kuwa kaburi la kodi kabla ya kushangaa ile ya tozo ilivyopita.
Mjibu ndugai siyo mimi.....Kwani siku zote hizo nani amekuwa akicontrol hayo matumizi ya serikali?
Anajikosha kuuliza wakati anajua, hii inaashiria muhimili wa ndugai unaelea juu juu...Jibu la swali Ndugai analijua Rais ndiyo anatoa pesa. Bunge lake limepuuzwa.
Acha uanguke tupumueNauona mnara wa babeli
wewe unaonekana una chet cha kuzaliwa tu si zaidi ya hapo. kwa hiyo hiyo unavyojua wewe pesa ya serikali inatoka bilacya kitengenezewa mazingira, hivi watu kama wote wapo dodoma alafu wanakuja dar tu kufanyavmkutano ni sawa. kwa wajinga kama nyinyi hata chizi anaweza kuwatawalaWagawane Ili iwaje? Hakuna pesa ya serikali inatoka hovyo wewe kima? Ukiona watu wamelipwa posho ujue ni Halali
Ndo maana wanabana ajira mpya na kupandisha mishahara na madaraja kwa wakati, ili wabaki na pesa za kutosha kulipana posho na kufisadi hapa na pale......hii nchi ni kama imelaaniwa.wewe unaonekana una chet cha kuzaliwa tu si zaidi ya hapo. kwa hiyo hiyo unavyojua wewe pesa ya serikali inatoka bilacya kitengenezewa mazingira, hivi watu kama wote wapo dodoma alafu wanakuja dar tu kufanyavmkutano ni sawa. kwa wajinga kama nyinyi hata chizi anaweza kuwatawala