Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.

View attachment 1932327
Acha wafu wazike wafu wao
 
Spika ni kama unaingiwa na roho mtakatifu kwa sasa.
Bunge kazi yake ni kuisimamia serikali. Kama utasimama upande wa haki, haki itakuinua na kukuweka katika historia chanya
 
we jamaa hovyo sana. kwani issue mambo ya serikali kwenda au watu kulipana posho zisizo za msingi. hawa tuchukulie pesa zote za miradi zimepelekwa, kwa hiyo unataka kusema kitakachobakia wagane
Wagawane Ili iwaje? Hakuna pesa ya serikali inatoka hovyo wewe kima? Ukiona watu wamelipwa posho ujue ni Halali
 
Kwa kifupi Spika wa Bunge asiyefahamu ni nani anayehusika kusimamia matumizi ya serikali hastahili kuliongoza Bunge.
Labda kama huo ulikuwa ujumbe wa moja kwa moja kwa Raisi, kumwambia na yeye hayupo Dodoma.
 
Nini maana ya makao makuu ya serikali kuwa Dodoma? na hiyo siyo maneno ya blah blah ni sheria......Dar ni commercial capital kama ilivyo Lagos kule Nigeria kadri watu wanavyoendelea kukamuliwa tozo ndo na safari za vigogo Dar-Dom, Dom-Dar zinavyoongezeka. Swali lililoulizwa hapa ni nani ana control government expenditure?
Kwani siku zote hizo nani amekuwa akicontrol hayo matumizi ya serikali?
 
Alikuwa hajui mradi wa makao makuu Dodoma ni tembo mweupe anaye angamiza kodi za Watanzania? Angeishangaa sheria ya Makao makuu Dodoma ilivyopitishwa bungeni ili iende kuwa kaburi la kodi kabla ya kushangaa ile ya tozo ilivyopita.
Kwani kujenga Ikulu Dododma siyo halali?
Makao makuu si ni Dodoma ua?
 
Wagawane Ili iwaje? Hakuna pesa ya serikali inatoka hovyo wewe kima? Ukiona watu wamelipwa posho ujue ni Halali
wewe unaonekana una chet cha kuzaliwa tu si zaidi ya hapo. kwa hiyo hiyo unavyojua wewe pesa ya serikali inatoka bilacya kitengenezewa mazingira, hivi watu kama wote wapo dodoma alafu wanakuja dar tu kufanyavmkutano ni sawa. kwa wajinga kama nyinyi hata chizi anaweza kuwatawala
 
Ndo maana wanabana ajira mpya na kupandisha mishahara na madaraja kwa wakati, ili wabaki na pesa za kutosha kulipana posho na kufisadi hapa na pale......hii nchi ni kama imelaaniwa.
 
Kwani Job huyu ndiyo yule yule??
Tuanzie na matibabu yake ya gharama??
Yalisaidiaje madaktari hohehae wa nchi hii?? Yeye kwanini hakutibiwa hapo Benjamin??
Hebu apunguze UNAFIKI WAKE,
Huyu si alienda China, aliporudi akaupiga mwingi juu ya mradi wa Bagamoyo??

Aaache na wenziye waitafune nchi kama yeye!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom