Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Kuwekwa makampuni ni baada ya kushindwa vibaya kwa mfumo wa ' force account '.
 
Tutakuja kupata tu hizi habari. Hapa kwa mwendo huu, yatakuja kuibuka mazito ya upigaji ambao hatujawahi simuliwa wala kusikia.
Mikopo inaingi tarakimu ni trilions, walipaji ni sie ambao watoto wanasomea chini ya miti, mlo mmoja kwa siku si wa uhakika. Mkuu wa bunge hajui hata nani anadhibiti matumizi ya serikali! Aibu.
 
Aelezwe kwamba watu wanafungasha kurudi Dar... yaani Dar ni kama Dar!!! Opportunity never come twice... awamu ya sita ya kurejea Dar.
 
wapumbavu kama nyinyi tatachelewa sana ubungo wako umejaa kamasi!
 
Ndugai anatuabisha sana watu wa kanda ya kati. Yaani baada ya yeye kulinajisi bunge sasa hajui hata kuwa kazi ya kudhibiti matumizi ya serikali ni ya bunge. Hovyo kabisa
 
Aende kamati ya maadili anawagombanisha mawaziri na wananchi
 
Niko Morogoro Heka Heka Ni Kubwa Viongozi Kuhama Dodoma Naamini Soon Dodoma Itabaki Ukiwa
 
Haya mambo Magufuli ndio alikuwa hayataki 😎
 
Hayo matusi kwa serikali kuwa hakuna mdhibiti.....kweli PM anamuachia hivi hivi Ndugai.....dharau kisa aliewatisha hayupo....nchi lazima iendelee acheni unafiki
 
Kama alihoji bila ya Unafiki, amehoji mambo muhimu sana. Lakini kama alihoji ili mradi tuu amehoji basi haina maana, maana kinachofahamima yeye pia ni mjumbe wa CC ya CCM.
 
Ummy mwalimu hiyo wizara haiwezi hajui anasimamia nini mara ajira zitolewe hivi mara vile saizi usishangae rushwa itakuwa kubwa sana kwenye ajira!
Uyu ummy mwalimu apelekwe wizara nyingine hii TAMISEMI imekua sio size yake analopoka Non-sense
 
Kuna faida nyingi Sana za kuifanya Dodoma makao makuu ya nchi kwa vile hii limekwenda kuchangamsha uchumu wa Dodoma pamoja na mikoa ya jirani lkn pia imekua ni njia nzuri itakayotumika kubana matumizi ya Serikali huko mbeleni kwa sababu Kama viongozi wa idara mbalimbali za Serikali pamoja na Rais mwenyewe watakua Dodoma gharama za kusafiri kuja Dodoma Mara kwa Mara zitapungua kwa sababu Dodoma Ni makao makuu ya chama kwaio Rais lazima aje .
 
Nasikitika kuishi Taifa moja na watu wenye mawazo duni Kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…