Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Hivi Speaker Nate anaweza kuitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge? Mbona kama vile anaingilia Mhimili wa Serikali?
 
Hivi Speaker Nate anaweza kuitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge? Mbona kama vile anaingilia Mhimili wa Serikali?
 
Pesa tuazo za kutosha, tozo na sasa mpango wa kodi ya majengo kupitia LUKU ushashika kasi. Usihofu mheshimiwa
 
Kipindi cha mwendazake ni nani alikuwa anacontrol hiyo expenditure? Mbona hajawahi kuuliza swali hilo ilhali kuna wakati ikuli ilihamiaga Chato? Ndugai yupo kwenye kamati ya fitna na roho mbaya dhidi SSH.
 
Hela zetu za kodi na tozo zinachezewa sana. Hii mambo ya posho na safari ni wizi mtupu. Serikali ipo ili kutumikia watu. Ukiona watu wanatengeneza schemes za kulipana posho badala ya kuwatumikia na kuwaletea maendeleo watu wake ujue kuna shida kubwa sana ndani ya serikali hiyo.
 
Kabisa
 
Watu wenye kazi za field ambao ndo wanatakiwa wafanye project za kutatua changamoto za wananchi hawana posho, ila posho za wasafiri wa Dar-Dom, Dom-Dar zipo za kutosha.........
 
Aiseeh!
 
Hayo matozo wanayotunyonya ndio wanagharamia hayo.

Mungu atawalipa tu inavyostahili maana Mungu si wa kunyamazia dhuluma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…