Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Alikuwa hajui mradi wa makao makuu Dodoma ni tembo mweupe anaye angamiza kodi za Watanzania? Angeishangaa sheria ya Makao makuu Dodoma ilivyopitishwa bungeni ili iende kuwa kaburi la kodi kabla ya kushangaa ile ya tozo ilivyopita.
Kivip Mradi wa makao makuu Dodoma ni white [emoji208]?
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Waziri wa fedha wa sasa ni kaputi sana. Haijawahi tokea.
 
Makusanyo na nchi iko Dar.....Dom wakae wabunge huyo kibushuti .........kwanza ni kweli ame RiP ?
 
Nasikia kimeumana huko,, subwoofer imekata moto... Sijui... Natamani iwe uwongo...
 
Yule mwingine alikuwa anakaa Chato siku kadhaa na timu yake yote inalipwa perdiem ila Ndugai hakuwahi kuhoji.

MA-CCM sio ya kuamini.
Lisu anakaa Ubelgiji na analipwa perdiem na chadema
 
Jumbe Brown mama D johnthebaptist YEHODAYA na Crimea hawapati chochote kwenye hizo posho?
🤣🤣
Spika anawakilisha MUHIMILI WA BUNGE....ana haki ya kuhoji.....

Na serikali inasimamia shughuli za kila siku na kikatiba nayo ina haki ya KUZIJIBU HOJA.....

All and all Tanzania ni nchi bora mno ambayo imetufanya watanzania tuulizane ,tusikilizane na kupeana majibu KUNTU bila ya kuchukiana na kudharauliana......

SIEMPRE TANZANIA
SIMPRE TANZANIA
SIEMPRE TANZANIA
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Hii nchi inaendeshwa na genge la mwendazake ona sasa samia tulikuonya mapema tu

Ona hii soma halafu uunganishe matukio hapo anampiga vijembe nani hawa wanacheza kwa akili sana, mwisho wa picha kila mtu atajenga picha kwamba samia ni mzembe ndo maana kawaacha mawaziri wanahamia dar na kutumia pesa za umma

Huyu ndugai naye ni lile genge huyu alinyimwaga umakamo wa rais....yeye na samia wanachekeanaga tu but hawakuwahi kuiva kabisa enz za magu
 
Uchumi wa soko sio centrallised kama wa Magu lazima serikali ifanye Kazi na sekta binafsi ikiwemo hizo makongamano kwenye kumbi binafsi kutanua mzunguko wa helaa.

Ndio maana hata ujenzi wa mji mkuu kwa sasa kuna kampuni binafsi na sio za serikali tuu.
Exquisite 😍
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327

Kwani tozo za miamala zina kazi.gani wacha wale nchi
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Huu ni uthibitisho mwingine wa wazi kuwa, Rais Samia Suluhu Hassani "is held hostage...!!"

Yes, ndiyo logic ilimo ndani maelezo ya Spika...
 
Back
Top Bottom