Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

Hivi Speaker Nate anaweza kuitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge? Mbona kama vile anaingilia Mhimili wa Serikali?
Kwani we haujui kua alichokihoji ndugai ni miongoni mwa kazi za bunge pale wanapokua wameweka pembeni kidogo unazi wa chama na kusimamia wajibu wao Kama bunge
 
Tutakuja kupata tu hizi habari. Hapa kwa mwendo huu, yatakuja kuibuka mazito ya upigaji ambao hatujawahi simuliwa wala kusikia.
 
Yeye kama Spika angeweka wazi kila kitu sio anaongea kama kaandikiwa memo au yuko space

Ana mhimili wake mkubwa tu na anashindwa kuyasema wazi
Anajua nani anaidhinisha halafu anauliza kama mimi
Mbona amenena vema kabisa au ulitaka alopoke na kutukana, au kwamba ulipendelea bunge lake lote likae lijadili hilo swala akat PM wako nae mule na wote ni Kada moja. Linao wahusu watalichukua ikiwa wataona umuhimu wa kufanya hivyo, vinginevyo basi wanayafanya hayo kwa maslahi yao.
 
Huyo nae huwa ni mjinga Sana na huwa anahemka, expenditure za serikali huwa siku zote ana control nani?.

Makongamano gani ambayo yanafanyika Dar tuu? Na nani kasema makongamano yanatakiwa kufanyika Dom pekee?

Kwani kulipana posho ni tatizo? Pale Bungeni anakaa bure bila posho?

Hiki kizee huwa kina matatizo ya kisaikolojia nadhani.

Seems haelewi hata uelekeo wa uchumi wa sasa
Ww ni mnufaika wa TOZO unabunya tu pesa za walala hoi kuna siku utazinya
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Sijaelewa
 
Hapa shida sio swali ,shida ni aliyeuliza swali ata kama swali ni la muhimu bado inaonekana ni utumbo.
 
Atakua na lodge take Dom huyu,anaona haijai inabidi ajifanye ana uchungu na pesa za serikali.

Huo uchungu ameanza kuupata lini?
Nyie msiojielewa na hamuwezi kumwelewa ndugai! Magufu,alikuuwa kashamaliza suara la kuhamia dodoma jumong hajisimamii!
 
Lissu aliposema rais yupo mateka ulipinga ukasema ni viroba vya ubeligiji sasa wewe unasemaje rais anarembua tu.
Hawajielewi wanataka nini,kiufupi wamechanganyikiwa!
Nchi imewashinda
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dares salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi.

Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za serikali kwa sasa kwani kila mawaziri wanapofanya hizo safari za Dar wanalipana posho za kutisha pamoja na wasaidizi wao huku wakiwaacha wananchi masikini wakiwa hoi hoe hae bila huduma muhimu za jamii.
View attachment 1932327
Tozo zetu hz
 
Nini maana ya makao makuu ya serikali kuwa Dodoma? na hiyo siyo maneno ya blah blah ni sheria......Dar ni commercial capital kama ilivyo Lagos kule Nigeria.....kadri watu wanavyoendelea kukamuliwa tozo ndo na safari za vigogo Dar-Dom, Dom-Dar zinavyoongezeka. Swali lililoulizwa hapa ni nani ana control government expenditure?
Speaker yuko sahihi katika hili wala sio kubeza watu wanatafuta posho na kama makao makuu yangekuwa Dar ungewasikia wako Dom maana ni nzuri kwao. Shughuli hizi zikifanyika Dom hawapati posho sababu zinakuwa zinafanyika katika kituo chao cha kazi ukitoka nje lazima mjilipe per diem kisheria sio kuwa wanaiba sasa huwezi kusema tozo halafu wakati huohuo mnachezea pesa kulipana. Speaker anasema haya kwa kuwa anajuwa au kaambiwa na data anazo. Per diem njia moja wapo kubwa ya watu kupiga pesa labda sheria itoke tu ukiwa waziri au kiongozi wa serikali haijalishi uko wapi unaenda kufanya kazi hakuna per diem hapo adabu lakini hivi vi trip ndio chaka la kupiga.
 
Siku ngapi Rais,Makamu au PM wameishi Chamwino State House tangia Magu aondoke?
Ikulu na ofisi za rais hazijakamilika bado sijuzi tu tumeonwa PM katembelea ujenzi wa ikulu haujakamilika bado ujenzi unaendelea.
 
Mtaparaganyika tu, tulijua..mlisema Lema na Msigwa na wengine wanakwamisha maendeleo. haya sasa

Nyie si mlisema mnahamia Dodoma sasa kulikoni safari za Dar kila siku kutuwekea jam?
Hata ule wakati bado Dar mji mkuu trip za Dodoma zilikuwa kibao na yote posho.
 
Back
Top Bottom