Spika Ndugai aishangaa Serikali Kutoshaurika

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] k*** make ndiyo comment yangu

Avatar yako tu ilikuwa ina mtosha sana kumtambulisha kuwa upuuzi upuuzi wewe huwa hulei 😁😁
 
Mchungaji kapigwa kondoo wana tawanyika. Mkono wa Mungu una kishindo kikuu. Bado tutaona na kusikia mengi.
 
Wewe mtoa uzi utaweza kumudu bakora za huyo unayemtaja taja hapa? Anza kutembea na helment vinginevyo jiandae na stick na anagonga kichwa tu huyo uliyemtaja
 
Sisi tunamshangaa yeye Job Yustina Ndugai kuendelea kuwakingia kifua wabunge ambao wametimuliwa na chama chao.

Huo ni ujuha of the highest order
 

..bunge ndilo linalotoa baraka ya mambo yote yanayopendekezwa na serikali kutekelezwa.

..Spika anapolalamika kwamba mawaziri hawashauriki maana yake ni kwamba hajui wajibu na mamlaka ya bunge.
 
..bunge ndilo linalotoa baraka ya mambo yote yanayopendekezwa na serikali kutekelezwa.

..Spika anapolalamika kwamba mawaziri hawashauriki maana yake ni kwamba hajui wajibu na mamlaka ya bunge.

Yule mwingine alisema kila kitu hewa. Itakuwa sahihi kusema dhwaifu. Maana si Siyani si Jobo kote kabisa.

"Dunia hii mama lukumba, lukumba."
 
Kwani ameshapona? Maana waungwana wanasema chizi huwa haponi.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…