Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Tz haijawahi kuwa na spika wa hovyo kama huyu
Tatizo mnahisi kila mtu anaweza kusifu na kuabudu kwa huyo chairman wenu. Vile vile who's he by the way!! Trump amekuwa abused many times and nothing have been done so far Uhuru Kenyatta lakini mwisho wa things are going well.Mbowe amejivua nguo hadharani achutame tu
Haiwezekani Mkuu wa Nchi aongee yeye aanze kupinga tu tena bila hoja mathubu
Kusoma sana siyo akili, Hata uwe na Masters lakini unafanya mambo ya ajabu kama anayofanya Ndugai unakuwa hujaelimika. Mr. Mbowe ana haiba tofauti na huyu mlamba miguu ya Magufuli. Uongozi siyo degree, Ndugai alitakiwa akafanye kazi za agriculture, anajua ku-deal na mahindi na maharagwe siyo na watu...Ndiyo maana ana tabia za kipori pori. Mbona Kabudi, mzee wa Jalalani anaongea utumbo tu, ujinga na uongo siku zote pamoja na kuwa ni Profesa? Kuwa profesa, doctor, M.S au B.S siyo kigezo cha kuwa bora.....Hao wote wenye digrii wametufikisha hapa tulipo, tumekuwa nchi ya hovyo...hovyo kabisa. Wewe degree ya Chemistry inasaidia nini kwenye uongozi bora? Wengine hata masomo yenyewe wamebebwa bebwa. Kina Bill Gates, Steve jobs, Albert Einsten na wengine walikuwa na degree?????? Ninyi watanzania serikali imejaza madaktari wasio hata na communication skills....Wamefanya nini? Ebu ongeza uelewa wako wewe.1. Job Ndugai, born 1960:
- Master of Science, UDSM Agriculture unit
of Norway
- LLB from Open University of
Tanzania
2. Freeman Mbowe, born 1961:
- Division 0 form 4
- DJ & Bouncer of Mbowe's hotels
in DSM.
Kwa CV hizo nani kati ya hao atakuwa na ubongo wa mnyoo wa nguruwe? Circle the correct answer kama una akili timamu.
Sure
Anawasilisha alicho tumwa. Hata umshauri vipi hawezi badili tune.Amlipaye mpiga zumari ndiye achaguaye wimbo.Hivi Mbowe hana washauri wamshauri watu hawataki lockdown kwa hiyo atafute kitu kingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku utamkataa huyo mbowe kama unavyomkataa lijualikali leoKusoma sana siyo akili, Hata uwe na Masters lakini unafanya mambo ya ajabu kama anayofanya Ndugai unakuwa hujaelimika. Mr. Mbowe ana haiba tofauti na huyu mlamba miguu ya Magufuli. Uongozi siyo degree, Ndugai alitakiwa akafanye kazi za agriculture, anajua ku-deal na mahindi na maharagwe siyo na watu...Ndiyo maana ana tabia za kipori pori. Mbona Kabudi, mzee wa Jalalani anaongea utumbo tu, ujinga na uongo siku zote pamoja na kuwa ni Profesa? Kuwa profesa, doctor, M.S au B.S siyo kigezo cha kuwa bora.....Hao wote wenye digrii wametufikisha hapa tulipo, tumekuwa nchi ya hovyo...hovyo kabisa. Wewe degree ya Chemistry inasaidia nini kwenye uongozi bora? Wengine hata masomo yenyewe wamebebwa bebwa. Kina Bill Gates, Steve jobs, Albert Einsten na wengine walikuwa na degree?????? Ninyi watanzania serikali imejaza madaktari wasio hata na communication skills....Wamefanya nini? Ebu ongeza uelewa wako wewe.
Heh heh heh. Ndugai ameacha kazi ya Uspika amechukua kazi ya Polepole, yaani kitengo cha itikadi na uenezi. Heh he heeeh!Ndugai anajua pamoja na mahangaiko yote anayofanya wakati huu, bunge lijalo uspika atauona kwa wenzie, amebaki kurusha mateke hovyo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia, Mbowe ajue Mh. Rais ndio Caesar Mkuu, ndio yule Mungu aliyempa madaraka ya kuongoza nchi yetu, inabidi amuheshimu atake asitake, ni Amri ya Mungu