Spika Ndugai anapoonya ulevi wa madaraka wakati yeye yako juu ya katiba unamchukuliaje?

Huyu si huwa anachapa viboko wananchi.
Nikisikia mgeni rasmi huyu huwa natoka nje.
 
Nyani haoni kundule, wahenga walisema Ndugai liangazie kundulako kwanza
Umeniwahi kuandika huu msemo.

Niliposoma tu ujumbe, huo msemo ukanijia kwenye fikra.
 
Pale Baba ni mlevi anapo mkataza mtoto wake asiwe mlevi!
 
Hapo ni sawa na mlevi kumcheka mlevi mwenzake kwamba kazidisha ulevi....
 
Kavimbiwa
Your browser is not able to display this video.
 
Nyani haoni kundule, wahenga walisema Ndugai liangazie kundulako kwanza
MUNGU ni MWEMA sana kwa Taifa hili na watu wake..Kwa hawa wenye kiburi kama huyu chizi anayeongoza bunge atatufanyia wepesi turudi kati tuanze upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…