Spika Ndugai anawatafuta Tundu Lissu na Zitto Kabwe Bungeni hawaoni, wapo akina Nusrat Hanje

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.

Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.

Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari.

Nawatakia Jumanne yenye baraka.
 
Ataweweseka sana hasa akijiona mpweke na dhaifu baada ya nguzo aloitegemea kwenda na maji.

Nilistuka na kushangaa nilipoambiwa akina Kinuju Kijogoodi eti ni wabunge tena kutoka kanda pendwa ya mwendazake.

Aisee hii nchi Yule bwana angeiangamiza kabisa kiasi ingekua shamba la mifugo.
 
Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa gavumenti

Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.

Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari!

Nawatakia tuesday yenye baraka.
Mkuu una hakika wewe sio Ndugai?
 
sijakuelewa mwanangu bwasheee....................... Ndugai ni wa kutupa kaburini na Jiwe wabusiane huko
 
Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.

Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.

Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari.

Nawatakia Jumanne yenye baraka.
giphy.gif
 
Amina bwashee 🤣, umepiga mulemule

Leo hii ndugai amekuwa wa kuaminiwa[emoji23][emoji23].

Huyu aliyesema hafahamu lissu yuko wapi!!

Ama kweli mbongo ni kiumbe wa bei rahusu sana.
 
Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.

Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.

Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari.

Nawatakia Jumanne yenye baraka.
Joni kama joni. Leo mnaona umuhimu wa wapinzani baada ya kuwafukuza
 
Back
Top Bottom