johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu una hakika wewe sio Ndugai?Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa gavumenti
Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.
Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari!
Nawatakia tuesday yenye baraka.
sijakuelewa mwanangu bwasheee....................... Ndugai ni wa kutupa kaburini na Jiwe wabusiane hukoUkimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa gavumenti
Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.
Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari!
Nawatakia tuesday yenye baraka.
Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.
Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.
Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari.
Nawatakia Jumanne yenye baraka.

Hahahaaaa.........!wacha wee..!
Mimi siye bwashee!Mkuu una hakika wewe sio Ndugai?
Joni kama joni. Leo mnaona umuhimu wa wapinzani baada ya kuwafukuzaUkimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.
Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.
Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari.
Nawatakia Jumanne yenye baraka.
Wapinzani wapo bungeni lakini hawana ubora!Joni kama joni. Leo mnaona umuhimu wa wapinzani baada ya kuwafukuza