Yupo BABU TALE ataibana serikali imshirikishe kujenga barabara.Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.
Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.
Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari.
Nawatakia Jumanne yenye baraka.
Gwajima ameoneka aKawe akitafuta vijana wa kwenda Marekani.Kwa bahati mbaya sana uchaguzi mkuu wa October 2020 haukutengeneza Bunge imara!! tuna Bunge dhaifu yawezekana tangu tupate Uhuru wetu 1961 hili ndiyo bunge kiboko ya udhaifu, kiasi hata wananchi hawana hamu ya kulifuatilia maana yanayoongelewa ni yale yale!! Kizuri zaidi Spika na yeye ndiyo anachagiza liwe dhaifu zaidi.
DED anapokusaidia kupata ubunge basi wewe unakuwa ni mbunge wa serikali siyo wananchi kwa mfano pale Mtama!Kwa bahati mbaya sana uchaguzi mkuu wa October 2020 haukutengeneza Bunge imara!! tuna Bunge dhaifu yawezekana tangu tupate Uhuru wetu 1961 hili ndiyo bunge kiboko ya udhaifu, kiasi hata wananchi hawana hamu ya kulifuatilia maana yanayoongelewa ni yale yale!! Kizuri zaidi Spika na yeye ndiyo anachagiza liwe dhaifu zaidi.
Wakurugenzi ndo wanaotengeneza wabunge, ziko halmashauri mbunge na mkurugenzi hawaiviDED anapokusaidia kupata ubunge basi wewe unakuwa ni mbunge wa serikali siyo wananchi kwa mfano pale Mtama!
Mbunge akishaapishwa anasahau amefikaje pale!Wakurugenzi ndo wanaotengeneza wabunge, ziko halmashauri mbunge na mkurugenzi hawaivi
Hahahaaaa....... ataendelea kuwepo sana tu!sijakuelewa mwanangu bwasheee....................... Ndugai ni wa kutupa kaburini na Jiwe wabusiane huko
Hakuna mpinzani hata mmojaWapinzani wapo bungeni lakini hawana ubora!
Halima Mdee!Hakuna mpinzani hata mmoja
Huyo ni mbunge wa chama cha NdugaiHalima Mdee!
HAKUNA KURA ZILIZOIBIWA WAPINZANI HAWAKUBALIKI NA WANANCHI HAIWEZEKANI NCHI NZIMA MUIBIWE MLIKUWA WAPI? BASI HAMFAI KUONGOZA NCHIKwenye kikao Cha familia kina ndugu wa upande mmoja
Waliona Raha kuiba kura nchi nzima leo mwenyewe anaona tabu ya Kuwa na wabunge la kuteuliwa na m/kiti wa CCM
wenye ubora kura hazikutosha maana hawakubaliki na wananchiWapinzani wapo bungeni lakini hawana ubora!
Chachandu?Huyo ni mbunge wa chama cha Ndugai
Umenena comrade πͺ π βοΈππ€π€Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.
Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.
Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari.
Nawatakia Jumanne yenye baraka.
Eti Halima James Mdee naye aliibiwa kura!HAKUNA KURA ZILIZOIBIWA WAPINZANI HAWAKUBALIKI NA WANANCHI HAIWEZEKANI NCHI NZIMA MUIBIWE MLIKUWA WAPI? BASI HAMFAI KUONGOZA NCHI
Acha dharau we kahaba wa kiheheUkimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.
Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali wakati ule waziri mkuu Pinda aliposema mkiwabana mafisadi nchi itatikisika leo hawapo.
Kwenye kundi la vinyonga hakunaga safari.
Nawatakia Jumanne yenye baraka.
Hahahaaaa.....mama WATATU!Acha dharau we kahaba wa kihehe