Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kufuatia matamshi ya Spika wa bunge leo bungeni wakati akiwaapisha wabunge wateule Humphrey Polepole na Bi. Riziki, ambapo Spika amewahakikisha ubunge wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama wao na Chadema..
hapo ndio chadema walitakiwa kwenda NEC kuangalia hayo majina yalipelekwa na kusainiwa na kiongozi gani, kuna viongozi wamezungukana hapo kati ya mnyika na mbowe, na kupeleka majina NEC kinyemelaKama kweli mbona NEC walikuwa wanajichanganya? Tarehe 20/11/2020 walisema hawajapokea majina (ukitaka ushahidi wa video nitakuwekea). Tarehe 27/11/2020 baada ya CHADEMA kusema majina ni fake wakaibuka wakisema walipokea majina tarehe 19/11/2020 kisha kamati ya NEC ikakaa tarehe 20/11/2020 kuchagua majina ya wabunge na madiwani kutoka kwenye majina waliopokea. Huu mbona ni mkanganyiko unaodhihirisha uongo mkubwa.
Inawezekana mnyika ameshirikiana na akina mdee kupeleka majina nec bila kushirikisha akina mbowe n.k. hayo majina yaliyopelekwa nec yachunguzwe yalisainiwa na nani.Sasa yeye ni kiziwi asiyesikia sekeseke hii yote iliyotokea???, anashindwa hata kuwasiliana na NEC???---- nchi gani hii imekosa coordination!!!. Hawa akina Ndugai na NEC wanalao jambo katika suala zima la huo Ubunge, wameisha likoroga kwenye uchaguzi bado wanendelea kulikoroga tena..
Kama hana taarifa mbona ameshawahukumu Mbowe na Mnyinga? Ndugai ni mgonjwa anachana nayeKufuatia matamshi ya Spika wa bunge leo bungeni wakati akiwaapisha wabunge wateule Humphrey Polepole na Bi. Riziki, ambapo Spika amewahakikisha ubunge wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama wao na Chadema...
Kuna NEC au kuna shina la CCM?hapo ndio chadema walitakiwa kwenda NEC kuangalia hayo majina yalipelekwa na kusainiwa na kiongozi gani, kuna viongozi wamezungukana hapo kati ya mnyika na mbowe, na kupeleka majina NEC kinyemela
UTARATIBU UWEPO AU USIWEPO HII NI VUTA NIKUVUTE YA ndugai na mzee meko , kuonyesha wakina mbowe nani anamamlakaa , wameishafukuzwa dunia inajua na hata wenyewe wanajua, wenye akili pia wamajua kwa tukio la kikao kile kuwafuta uanachama hawastahili kuwa wabunge, lkn kwa kuwa kuna watu hawatumii busara ktk kuiendesha hii nchi , yetu machooKufuatia matamshi ya Spika wa bunge leo bungeni wakati akiwaapisha wabunge wateule Humphrey Polepole na Bi. Riziki, ambapo Spika amewahakikisha ubunge wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama wao na Chadema...
Mbona unaruka, waniini kauli za NEC zinajichanganya? Kwanini hilo hujibu? Maana kauli ya NEC ndiyo inajichanganya sasa kwanini kujichanganya huko ukuhusishe na Mbowe na Mnyika?hapo ndio chadema walitakiwa kwenda NEC kuangalia hayo majina yalipelekwa na kusainiwa na kiongozi gani, kuna viongozi wamezungukana hapo kati ya mnyika na mbowe, na kupeleka majina NEC kinyemela
Mkuu, wanasema tayari ana kinga ya kutoshtakiwa...ndugai inatakiwa apelekwe mahakamani kwa kuvunja sheria wazi kwa kiburi
Mkuu, unaargue kama mtu layman kabisa asiyeelewa mambo. Sasa unataka speaker afanyie kazi habari za kusikia kutoka kwenye press conference? Chadema wasipopeleka barua rasmi ya taarifa maana yake ni kwamba hao wamama wataendelea kutambuliwa kuwa wabunge halali. Itakula kwa chadema!
inawezekana mnyika ameshirikiana na akina mdee kupeleka majina nec bila kushirikisha akina mbowe n.k. hayo majina yaliyopelekwa nec yachunguzwe yalisainiwa na nani.
Mkuu, wanasema tayari ana kinga ya kutoshtakiwa
NEC walishasema, katibu mkuu wa CHADEMA ndio amepeleka hayo majina ya wabunge, na kwenye press ya mbowe hakujibu hili zaidi ya kujitetea kwamba hana taarifa, huoni CHADEMA wanajichanganya? ivi inawezekanaje Salim Mwalimu asijue taarifa za mke wake Esther Matiko ? inawezekanaje kigogo wa twitter awe na taarifa za yanayoendelea ndani ya chadema lakini Mnyika asijue, tuwe wakweli, baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanahusikaMbona unaruka, waniini kauli za NEC zinajichanganya? Kwanini hilo hujibu? Maana kauli ya NEC ndiyo inajichanganya sasa kwanini kujichanganya huko ukuhusishe na Mbowe na Mnyika?
Basi acheni kuandika barua rasmi kwa spika tukae hivihivi kwa maana hata ushauri mzuri hamtaki.Mvunja sheria hawezi kupelekewa taarifa ya sheria aliyoivunja...
Nadhani kuna marekebisho ya Katiba mwaka jana yaliingiza hiloHiyo kinga ipo wapi?? ndani ya katiba??
Jaji mkuu naye hashitakiwi??Nadhani kuna marekebisho ya Katiba mwaka jana yaliingiza hilo
kila kitu kiko wazi, NEC wamesema majina yamepelekwa na katibu mkuu, na Mbowe kwenye press yake hakukanusha, huoni kuna namna hapo?Sasa ndio inatakiwa akina mdee waende kuonana na uongozi wa chama kubainisha jambo hilo.
Yap.. hashtakiwi.Jaji mkuu naye hashitakiwi??
Hizo ni assumption zako. Lakini NEC wao wenyewe wamejichanganya kauli zao zinajichanganya hata wewe umeshindwa kueleza ni kwanini wametoa kauli mbili tofauti, na video ikawaumbua. Umeshindwa kueleza na wao NEC kwasababu wamehusika katika mchezo mchafu hawana maelezo, Narudia tena tarehe 20/11/2020 NEC walisema hawajapokea majina kutoka CHADEMA.NEC walishasema, katibu mkuu wa CHADEMA ndio amepeleka hayo majina ya wabunge, na kwenye press ya mbowe hakujibu hili zaidi ya kujitetea kwamba hana taarifa, huoni CHADEMA wanajichanganya? ivi inawezekanaje Salim Mwalimu asijue taarifa za mke wake Esther Matiko ? inawezekanaje kigogo wa twitter awe na taarifa za yanayoendelea ndani ya chadema lakini Mnyika asijue, tuwe wakweli, baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanahusika
Wewe ndio akili hazipo sawa. Hao kina Mdee na Bulaya walisimamishwa kwa mujibu wa kanuni za bunge.Hivi wewe unawaza kisawa sawa kweli?.Ndugai mbona amewahi kuwafukuza akina Halima Mdee na Ester Bulaya bungeni Mara kadhaa,hapo hakuwanyanyasa?,Ccm mmewahi kumfukuza Sofia Simba na wenzake,Mliona chadema inasema kitu?,CCM mliwapiga na kuwajeruhi hao alina Mdee mbona tulinyamaza?.Usiwe punguani.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app