Spika Ndugai asilaumiwe mpaka sasa

Spika Ndugai asilaumiwe mpaka sasa

Speaker wetu is a very disgrace to this National Assembly and this poor country ruled by dictator
 
Hivi pamoja na unyonge wao wote awa CHADEMA, hivi kweli wanaweza kufanya maamuzi makubwa hivyo bila kupeleka barua Bungeni? Zamani tulivyokuwa watoto, mwenye mpira ndiye alikuwa anaamua mchezo uweje, hiki ndicho kinachotokea sasa hivi.

Kimsingi, nina imani CHADEMA walijua tangu awali hiki ndicho kitakatochotokea na wao walifanya makusudi ili ili litokee wazidi kutuvua nguo mbele ya jumuia za kimataifa.

Hili suala halihitaji ubabe bali busara. Haitogharimu kitu kukaa na wapinzani kufanya maridhiano tuwe na siasa za kiungwana na kistaarabu. Huu ndio utanzania vinginevyo tutaendelea kudharaulika na kuonekana vituko kama tunashindwa kuheshimu sheria na taratibu tulizojiwekea wenyewe alafu tunataka tuheshimiwe.
 
Si kazi ya Spika kujua au kuthibitisha kama Mdee na wenzake walighushi au la. Yeye anapata majina kupitia Tume, si kutoka kwenye chama. Ila Tume inapata kutoka kwenye chama na kisha humpelekea Spika
Mvunja sheria hawezi kupelekewa taarifa ya sheria aliyoivunja....
 
Kwanza tujulishwe hili, NI NANI ALIYEPELEKA MAJINA YA WALE WATEULE KWA SPIKA?
 
Hata waandike barua 100 ccm wameshaamua hao ni wabunge liwake jua inyeshe mvua, ivunjwe katiba isivyunjwe na Hakuna wa kumfanya Kitu.
 
Sasa yeye ni kiziwi asiyesikia sekeseke hii yote iliyotokea???, anashindwa hata kuwasiliana na NEC???---- nchi gani hii imekosa coordination!!!. Hawa akina Ndugai na NEC wanalao jambo katika suala zima la huo Ubunge, wameisha likoroga kwenye uchaguzi bado wanendelea kulikoroga tena.

Katika hali hii ni lazima, kwa busara tu, kuwepo na coordination kati ya NEC, Chadema na Spika, Spika ni mkuu wa Muhimili wa dola anaweza kwa wadhifa wake kuwasiliana moja kwa moja na NEC na Uongozi wa chadema kutatua sintofahamu hiyo, it is simple like that, lakini Yeye ndiye chanzo cha "tag of war" za kijinga utadhani ni mtu wa kijiweni.
Yan yeye ndie awafate chadema nyie kwel mnataka kina alima a
Waendelee kuwa wabunge ila mmeamua kupiga chenga za mwil tu
 
Kufuatia matamshi ya Spika wa bunge leo bungeni wakati akiwaapisha wabunge wateule Humphrey Polepole na Bi. Riziki, ambapo Spika amewahakikisha ubunge wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama wao na Chadema

Kumeibuka kundi la watanzania wakipinga suala hilo.
Binafsi ningependa kuwaambia ya kwamba kamati kuu ya chadema kuwavua uanachama peke yake bila kupeleka taarifa rasmi kwa spika haitoshi kuhalalisha kwamba tayari wamepoteza ubunge

Chadema wanapaswa kukamilisha utaratibu kwa kumpa taarifa rasmi spika juu ya maamuzi ya Kamati kuu, jambo ambalo anapaswa kufanya katibu mkuu wa chadema John Mnyika

Hii haina tofauti kabisa na ile scenario ambayo Tundu Lissu aliyekuwa mgombea wa chadema wakati wa kampeni aligomea wito wa Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kwa madai kwamba hana taarifa rasmi zaidi ya kusikia tu

Maana kinachoonekana na kilichopo kwa sasa kwenye hili suala la wabunge hawa ni mchakato kutokamilika,

Pamoja na Wafuasi wengi wa chadema wa kudai kwamba hata taarifa rasmi ikipelekwa haitasaidia, LAKINI WATAMBUE KWAMBA WAO WANAPASWA KUTIMIZA WAJIBU WAO LIBAKI JUKUMU LA SPIKA

Tofauti na kufanya hivi basi wimbo utabaki kuwa ule ule wa Ndugai Ndugai wakati wajibu haujatimizwa.
#MChacha Franco

Kwa hiyo point yako hapa ni nini hasa...?

Je, ni kutuambia kuwa CHADEMA hawajui utaratibu, hawajui la kufanya...?

Je, unadhani hawajafanya ama hawatafanya vile, kufuata utaratibu na kuukamilisha mchakato...?
 
Na Chadema wamewafukuza kwa mujibu wa Katiba ya Chama chao.Umesikia wewe mbugila?
Mbugila ni wewe na wengine wote wenye kuendekeza siasa za unyanyasaji wa jinsi ya kike.

Macho manne na wengine walioshindwa uchaguzi wameingiwa na roho ile ile ya kwanini hawa waapishwe na sisi tubakie mtaani. Inaitwa tukose wote.
 
hapo ndio chadema walitakiwa kwenda NEC kuangalia hayo majina yalipelekwa na kusainiwa na kiongozi gani, kuna viongozi wamezungukana hapo kati ya mnyika na mbowe, na kupeleka majina NEC kinyemela
Kwa jinsi walivyo na chuki ya wazi na CHADEMA, angekuwa kapeleka Mnyika (au hata Mbowe), kila kitu kingeshawekwa hadharani ili kumuumbua, na Policcm, TAKUKURUCCM wangekuwa wameshajileta.
Ndugai 'aliyefundwa' anaediriki hata kumlisha Mbowe, vijineno vya kuokoteza, asingewaachia kwenye hilo.
Mpira sasa hivi, uko mguuni kwa Mahera ambae kabaki anababaika kila siku na jibu jipya, lakini karibu atakuja kulazimika kutaja wabia wake kwenye hili.
 
Umenena ukweli mtupu. Ubunge haufutwi kupitia vyombo vya habari. Lazima iwepo taarifa rasmi ya chama kwenda Tume kisha kwa Spika
Hiyo taarifa wala si ngumu kuiandika na kuiwasilisha, mwenye nguvu ya kuchomoa watuhumiwa mahabusu na kuwapeleka bungeni ndo mwenye nguvu ya "kuwachomoamo" Ndugai yupo kama shati pale.
 
Tatizo lako unaukimbia ukweli kwamba Kamati Kuu ya Chadema haikumchagua hata mmoja wa hao COVID19 bali forgery ilifanyika nyuma ya migongo ya viongozi wa Chadema. Kwa kuwa taratibu za chama za kuchagua Wabunge wa viti maalum hazikufuatwa hao hawakuwa Wabunge wa Chadema. Huwezi kuwa Mbunge kwa janja janja na Chadema wameliweka hilo hadharani.
Kufuatia matamshi ya Spika wa bunge leo bungeni wakati akiwaapisha wabunge wateule Humphrey Polepole na Bi. Riziki, ambapo Spika amewahakikisha ubunge wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama wao na Chadema

Kumeibuka kundi la watanzania wakipinga suala hilo.
Binafsi ningependa kuwaambia ya kwamba kamati kuu ya chadema kuwavua uanachama peke yake bila kupeleka taarifa rasmi kwa spika haitoshi kuhalalisha kwamba tayari wamepoteza ubunge

Chadema wanapaswa kukamilisha utaratibu kwa kumpa taarifa rasmi spika juu ya maamuzi ya Kamati kuu, jambo ambalo anapaswa kufanya katibu mkuu wa chadema John Mnyika

Hii haina tofauti kabisa na ile scenario ambayo Tundu Lissu aliyekuwa mgombea wa chadema wakati wa kampeni aligomea wito wa Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kwa madai kwamba hana taarifa rasmi zaidi ya kusikia tu

Maana kinachoonekana na kilichopo kwa sasa kwenye hili suala la wabunge hawa ni mchakato kutokamilika,

Pamoja na Wafuasi wengi wa chadema wa kudai kwamba hata taarifa rasmi ikipelekwa haitasaidia, LAKINI WATAMBUE KWAMBA WAO WANAPASWA KUTIMIZA WAJIBU WAO LIBAKI JUKUMU LA SPIKA

Tofauti na kufanya hivi basi wimbo utabaki kuwa ule ule wa Ndugai Ndugai wakati wajibu haujatimizwa.
#MChacha Franco
 
Kufuatia matamshi ya Spika wa bunge leo bungeni wakati akiwaapisha wabunge wateule Humphrey Polepole na Bi. Riziki, ambapo Spika amewahakikisha ubunge wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama wao na Chadema

Kumeibuka kundi la watanzania wakipinga suala hilo.
Binafsi ningependa kuwaambia ya kwamba kamati kuu ya chadema kuwavua uanachama peke yake bila kupeleka taarifa rasmi kwa spika haitoshi kuhalalisha kwamba tayari wamepoteza ubunge

Chadema wanapaswa kukamilisha utaratibu kwa kumpa taarifa rasmi spika juu ya maamuzi ya Kamati kuu, jambo ambalo anapaswa kufanya katibu mkuu wa chadema John Mnyika

Hii haina tofauti kabisa na ile scenario ambayo Tundu Lissu aliyekuwa mgombea wa chadema wakati wa kampeni aligomea wito wa Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kwa madai kwamba hana taarifa rasmi zaidi ya kusikia tu

Maana kinachoonekana na kilichopo kwa sasa kwenye hili suala la wabunge hawa ni mchakato kutokamilika,

Pamoja na Wafuasi wengi wa chadema wa kudai kwamba hata taarifa rasmi ikipelekwa haitasaidia, LAKINI WATAMBUE KWAMBA WAO WANAPASWA KUTIMIZA WAJIBU WAO LIBAKI JUKUMU LA SPIKA

Tofauti na kufanya hivi basi wimbo utabaki kuwa ule ule wa Ndugai Ndugai wakati wajibu haujatimizwa.
#MChacha Franco
Kumbe kuna chacha hawana akili vizuri?
 
Mkuu, unaargue kama mtu layman kabisa asiyeelewa mambo. Sasa unataka speaker afanyie kazi habari za kusikia kutoka kwenye press conference? Chadema wasipopeleka barua rasmi ya taarifa maana yake ni kwamba hao wamama wataendelea kutambuliwa kuwa wabunge halali. Itakula kwa chadema!
Kwanza hao wabunge wamepatikana kwa taratibu zipi maana CHADEMA wanasema hawakupeleka majina?

Suala la CHADEMA linawahusu wenye vyama lakini hili la kughushi majina na kuvunia katiba ni ubolizozo wa kigogo na kishamva kabisa
 
Back
Top Bottom