johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
ndo sifa ya ndezi kutokuwa na umakini kabisaHakunaga ndezi makini
Yohana mbatizaji. Tunapolaumu muwe mnawaelewa wenye mawazo tofauti.Tujikumbushe;
1. Tundu Lisu alitunguliwa marisasi akiwa anahudhuria vikao vya bunge.
2. Kitwanga alitumbuliwa baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakari
3. Bunge lilimuhoji CAG na kumkagua
4. Nassari alifukuzwa ubunge kwa kosa la kumsindikiza mkewe kujifungua
5. Wabunge zaidi ya 10 wametumikia vyama viwili katika bunge moja
6. Mchungaji maarufu Dr Rwakatare kafa wakati wa vikao vya bunge
7. Kachero mbobezi na mwanadiplomasia nguli Dr Mahiga amefariki wakati wa vikao vya ......bunge
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Siyo Kama vikaza vile,hawa ni vilazaWabunge watz , km vilaza vile mtu mpaka anakufa na corona/ bila kuchukua hatua yeyote.
Jaduong, Wabunge wasaliti? Au wanaoibana serikali? Maana inasemekana wasaliti huwa wanapigwa risasi hata vitani na hii ni principle inayotumika dunia nzima.Yohana mbatizaji. Tunapolaumu muwe mnawaelewa wenye mawazo tofauti.
Nimekuepo tangu wakati wa mwl, sijawahi kusikia spika anayeagizwa kuwashughulikia wabunge wanaoibana serikali , SIJAWAHI. Isipokuwa Ndugai
Odhis *