Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Mnavunja moyo sana msioona madhaifu tunayoaganayo kipindi cha kwanza cha awamu ya tano.Jaduong, Wabunge wasaliti? Au wanaoibana serikali? Maana inasemekana wasaliti huwa wanapigwa risasi hata vitani na hii ni principle inayotumika dunia nzima.
Hii kitu ipo duniani pote . Wabunge wa upinzani kuilipua serikali na madhaifu yake. Kusema hadharani mapungufu ya serikali , siyo usaliti. Hicho ndicho kina Lissu wamehangaika nayo tangia kwa Mkapa.
Awamu ya tano haiongozwi na malaika , japo wanatamani kuwa viongozi wao . Inaongozwa na wanaadamu wenye mapungufu. Na mapungufu hayo yameonekana hata kwenye la hili li pendamic . Ni kazi ya wapinzani kuwa na mawazo mbadala na hii ipo ki katiba
Odhis *