Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Mnavunja moyo sana msioona madhaifu tunayoaganayo kipindi cha kwanza cha awamu ya tano.Jaduong, Wabunge wasaliti? Au wanaoibana serikali? Maana inasemekana wasaliti huwa wanapigwa risasi hata vitani na hii ni principle inayotumika dunia nzima.
Jaduong, serikali inapambana na mabeberu ili hata kama wakiwekeza hapa taifa letu lipate kunufaika na uwekezaji wao alafu kuna watu wanakuwa upande wa mabeberu. Hii sio sawa kabisa na sidhani hata Us pamoja na demokrasia zao watakubakiza.Ndio maana hata wikleaks walipovujisha video za jeshi la marekani namna raia walivyouliwa Iraq kuna watu mpaka sasa wanawatafuta.Sababu kubwa ni maslahi ya taifa lao ili wanyonye mafuta ya Iraq.Mnavunja moyo sana msioona madhaifu tunayoaganayo kipindi cha kwanza cha awamu ya tano.
Hii kitu ipo duniani pote . Wabunge wa upinzani kuilipua serikali na madhaifu yake. Kusema hadharani mapungufu ya serikali , siyo usaliti. Hicho ndicho kina Lissu wamehangaika nayo tangia kwa Mkapa.
Awamu ya tano haiongozwi na malaika , japo wanatamani kuwa viongozi wao . Inaongozwa na wanaadamu wenye mapungufu. Na mapungufu hayo yameonekana hata kwenye la hili li pendamic . Ni kazi ya wapinzani kuwa na mawazo mbadala na hii ipo ki katiba
Odhis *
Jaduong, Wabunge wasaliti? Au wanaoibana serikali? Maana inasemekana wasaliti huwa wanapigwa risasi hata vitani na hii ni principle inayotumika dunia nzima.
Dk Godwin Mollel alishatoa jibu juu ya suala la Lissu. Mimi hoja yangu ni kwa wasaliti wa taifa letu.Ni kweli, mbona huwa mnasema sio jiwe kaagiza yeye kupigwa risasi?
Dk Godwin Mollel alishatoa jibu juu ya suala la Lissu. Mimi hoja yangu ni kwa wasaliti wa taifa letu.
Kuhusu Lissu hata wewe ulimuona na kumsikia Dk Godwin Mollel akisema nani alihusika.
Ndassa mjumlishe hapo!Pia bunge lake ndio bunge la kwanza mbunge kupigwa tanganyika jeki ndani ya ukumbi wa bunge kwa amri yake!
Ngoja nikusaidie kumwita! Pascal MayallaHizo zote ni porojo tu. Bunge la Spika Job Ndugai lipo imara sana.
Linaisimamia serikali vizuri,hata Paschal Mayalla anajua hili baada ya kulituhumu kuwa ni bunge dhaifu,alipewa mualiko pale mjengoni kuona ukali na umathubuti wa bunge.
Sent using iphone pro max
Historia ipi tena unaingojea iwekwe?Tujikumbushe;
1. Tundu Lissu alitunguliwa marisasi akiwa anahudhuria vikao vya bunge.
2. Kitwanga alitumbuliwa baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakari
3. Bunge lilimuhoji CAG na kumkagua
4. Nassari alifukuzwa ubunge kwa kosa la kumsindikiza mkewe kujifungua
5. Wabunge zaidi ya 10 wametumikia vyama viwili katika bunge moja
6. Mchungaji maarufu Dr. Rwakatare kafa wakati wa vikao vya bunge
7. Kachero mbobezi na mwanadiplomasia nguli Dr Mahiga amefariki wakati wa vikao vya bunge
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Lingekuwa taifa la watu wenye akili timamu tusingekuwa hapaTujikumbushe;
1. Tundu Lissu alitunguliwa marisasi akiwa anahudhuria vikao vya bunge.
2. Kitwanga alitumbuliwa baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakari
3. Bunge lilimuhoji CAG na kumkagua
4. Nassari alifukuzwa ubunge kwa kosa la kumsindikiza mkewe kujifungua
5. Wabunge zaidi ya 10 wametumikia vyama viwili katika bunge moja
6. Mchungaji maarufu Dr. Rwakatare kafa wakati wa vikao vya bunge
7. Kachero mbobezi na mwanadiplomasia nguli Dr Mahiga amefariki wakati wa vikao vya bunge
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Kule Arusha mtu amefia ndani anakuja kubebwa kwenda kuzikwa usiku huko uwani, na hapo mbele bar watu wala hawana habari wanapiga masanga!🤦🏾♂️Wazungu wanaita hizi nchi kama yetu..
'Banana Republic'
Hakunaga kitu serious hata gonjwa la kuua halaiki tunaliletea mzaha
Miaka mitano sio michache kwa yote hayo kutokea.Tujikumbushe;
1. Tundu Lissu alitunguliwa marisasi akiwa anahudhuria vikao vya bunge.
2. Kitwanga alitumbuliwa baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakari
3. Bunge lilimuhoji CAG na kumkagua
4. Nassari alifukuzwa ubunge kwa kosa la kumsindikiza mkewe kujifungua
5. Wabunge zaidi ya 10 wametumikia vyama viwili katika bunge moja
6. Mchungaji maarufu Dr. Rwakatare kafa wakati wa vikao vya bunge
7. Kachero mbobezi na mwanadiplomasia nguli Dr Mahiga amefariki wakati wa vikao vya bunge
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Spika hana mwenyekiti bwashee!
Umesahau Sifa nyingine; spika pekee alieenda kutibiwa india, akafikia hotel ya kitalii ya nyota 5, yeye na wasaidiz wake.. Akatafuna mabilioni ya shilingi..Spika hana mwenyekiti bwashee!