Spika Ndugai ateua Wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge

Spika Ndugai ateua Wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge

Huwa sioni maana ya sheria kusema wenteviti wa kamati za PAC na LAAC kuongozwa na wapinzani wakati kiuhalisia wabunge wa CCM ndio wenye influence kubwa ya kumuweka huyo mpinzani wamtakae kwa kumpigia kura kwa wingi...
Na Covid-19 wamo?
 
Naona Mhe. Halima James Mdee ndani ya kamati ya Bunge ya kudumu ya bajeti.
 
Huwa sioni maana ya sheria kusema wenteviti wa kamati za PAC na LAAC kuongozwa na wapinzani wakati kiuhalisia wabunge wa CCM ndio wenye influence kubwa ya kumuweka huyo mpinzani wamtakae kwa kumpigia kura kwa wingi...
Hiyo inafanywa ili kuombea Hela kwa beberu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Huwa sioni maana ya sheria kusema wenteviti wa kamati za PAC na LAAC kuongozwa na wapinzani wakati kiuhalisia wabunge wa CCM ndio wenye influence kubwa ya kumuweka huyo mpinzani wamtakae kwa kumpigia kura...
Hili sio takwa la Tanzania ni nchi zote za commonwealth zinazofuata mfumo wa Westminster. Usilete siasa za ccm na chadema hapa
 
Back
Top Bottom