johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lazima ifungwe tu, Mungu hawezi kubariki mashetani na matendo yao. Afadhali angelikenda mama Samia! Huyu ni mtu wa Mungu siyo Ndugai! Lazima wafungwe!Hao ndio wazalendo wa kweli wenye uchungu na nchi yetu.
Source Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
Mbowe atatua Cairo kesho!Lazima ifungwe tu, Mungu hawezi kubariki mashetani na matendo yao. Afadhali angelikenda mama Samia! Huyu ni mtu wa Mungu siyo Ndugai! Lazima wafungwe!
Tatizo Ndugai,Bashite na Mwakyembe wana mkosi wakisimamia timu lazima ifungwe,ref Serengeti Boys.Hii inatokana na wao kuzigeuza timu za Taifa kuwa mali ya mbogamboga!
Michezo haiendeshwi hivyo! Ushamba huo
Natabiri hii timu kufungwa game zote baada ya kubebwa na maadui wa TaifaHao ndio wazalendo wa kweli wenye uchungu na nchi yetu.
Source Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
umeandika ukweli ambao hata wachezaji wenyewe wa Taifa Stars wanaujuaTatizo Ndugai,Bashite na Mwakyembe wana mkosi wakisimamia timu lazima ifungwe,ref Serengeti Boys.Hii inatokana na wao kuzigeuza timu za Taifa kuwa mali ya mbogamboga!
He will never engage in rubbish gatherings headed by Ndugai! Umeona clip alivyokuwa anatema mayai/ung'en'ge?Mbowe atatua Cairo kesho!