Spika Ndugai atua Misri kuishuhudia Taifa stars

Spika Ndugai atua Misri kuishuhudia Taifa stars

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hao ndio wazalendo wa kweli wenye uchungu na nchi yetu.

Source Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
 
Hao ndio wazalendo wa kweli wenye uchungu na nchi yetu.

Source Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
Lazima ifungwe tu, Mungu hawezi kubariki mashetani na matendo yao. Afadhali angelikenda mama Samia! Huyu ni mtu wa Mungu siyo Ndugai! Lazima wafungwe!
 
Tatizo Ndugai,Bashite na Mwakyembe wana mkosi wakisimamia timu lazima ifungwe,ref Serengeti Boys.Hii inatokana na wao kuzigeuza timu za Taifa kuwa mali ya mbogamboga!
IMG-20190620-WA0012.jpeg
 
Hyo timu lazima ipigwe..haiwezekani wanasiasa ndo wawe mashabiki na vindakindaki.
 
Tatizo Ndugai,Bashite na Mwakyembe wana mkosi wakisimamia timu lazima ifungwe,ref Serengeti Boys.Hii inatokana na wao kuzigeuza timu za Taifa kuwa mali ya mbogamboga!
umeandika ukweli ambao hata wachezaji wenyewe wa Taifa Stars wanaujua
 
Back
Top Bottom