digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Acha wivu, tumia watu walitumikie taifa, hata wewe ni wa ovyo ovyo lakini ukiteuliwa huwezi kataa, so wivu unakusumbua tuNafasi kumi alizopewa Rais na Katiba ya JMT ni kama katika wabunge waliopo hakuna mtu ana sifa anazotaka lakini sio mBunge ndio anateua sasa huyu wetu anateua watu wa ovyoovyo ili kujaza makasuku kule mjengoni shida
Hizi Spanners alizopigwa Magu mwaka huu hatazisahau mpaka kufa kwake! Sasa wanaenda kuwaapishia garage na hawa eti waseme ndivyo alivyofanya Spika!Haha hahaha hahahha kwa hiyo wanaapishana kibarazani kuupa uhalali ule mchakato wa uapishwaji wa kina covid19
Spika wa Bunge Job Ndugai leo November 30,2020 atawaapisha Wabunge wawili walioteuliwa na Rais Magufuli, Wabunge hao ni Humphrey Polepole ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM na Riziki Said aliyekuwa Mbunge Viti Maalum katika Bunge la 11 kupitia CUF.
Shughuli za uapisho zitafanyika katika Viwanja vya Bunge Jiji Dodoma saa 10:00 Jioni.
Hamna kitu humo, huko india walifanya jambo lao.
Hao ni wabunge wa CCM siyo Chadema.Spika Ndugai amesema bunge linawatambua wabunge wote 20 wa chadema
Mzee kampa za uso Ndugai kwa tabia yake ya kuvunja katiba ya nchi.JITAMBUE
View attachment 1638440M
Katiba haielekezi unavyotaka wewe.Nafasi kumi alizopewa Rais na Katiba ya JMT ni kama katika wabunge waliopo hakuna mtu ana sifa anazotaka lakini sio mBunge ndio anateua sasa huyu wetu anateua watu wa ovyoovyo ili kujaza makasuku kule mjengoni shida
Mungu usikia kilio cha wenye haki, kuna watu wanasumbuliwa na kiburi cha uzima.Yani ni juzi tu Polepole kateuliwa usiku wa manane kuamkia jumapili. Halaf leo anaapishwa. Haraka haraka ya nini wanakimbia wapi? Wakati vifungu vya Katiba vimeweka wazi mtu akiteuliwa na rais lazuma wiki ipite kwanza ili aapishwe Wananch wajiridhishe kusikuwe na sintofaham. Vifungu vya katiba viko wazi kabisa kuhusu swala hili.
Kwanini wabake katiba yetu?
Kumvunja wamvunje wao leo wamuonee huruma, kwa kweli tuliambiwa kua uyaone ndiyo haya.Ukuwa makini sana kwa siasa za Tz unaweza ukachizi bure. Lini speaker wa CCM amuonee huruma Halima mdee eti alivujika mkono kwajili ya Mbowe, wakati nyie CCM ndo mliwavunja duh