Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Katiba ndiyo sheria mama, Je, Katiba inatambua m'bunge asiye na chama?
#Tutaelewana
#Tutaelewana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kushangaza ni Ndugai huyohuyo ndio alimfungia Halima Mdee mwaka mzima kutokukanyaga bungeni. Leo eti ana mahaba naye! Kama kuna motoni kweli basi huyu atakuwa kuni.Ukuwa makini sana kwa siasa za Tz unaweza ukachizi bure. Lini speaker wa CCM amuonee huruma Halima mdee eti alivujika mkono kwajili ya Mbowe, wakati nyie CCM ndo mliwavunja duh
MKuu kwa kejeli hizi huwasaidii Chadema bali unawapoteza. Ulitakiwa, ninavyodhani, uwape maelekezo wafungue kesi ya kikatiba ama ya aina yoyote ile na inyofaa kuhoji na kupinga utekelezaji wa shughuli za bunge chini ya Mheshimiwa Spika Ndungai. Ni hayo tu!Amini usiamini... kuwa mwana-CCM raha sana! Yaani huumizi kichwa!!!
Spika dhaifu huzalisha Bunge hovyooo.Haha hahaha hahahha kwa hiyo wanaapishana kibarazani kuupa uhalali ule mchakato wa uapishwaji wa kina covid19
Huyu spika tumemzoa kwenye jalala gani?[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] 2020 sio 1900.. watu wameelimika sana siku hizi
Hivi Mbowe ni mwenyekiti mwaka wa ngapi vile?Hao ni wabunge wa ccm siyo chadema
Chadema washafukuzwa uanachama.
Hata hivyo Tanzania iliondoka kwenye utawala wa sheria toka mwaka 2016 tumebaki ni miungu watu weusi mwili na roho
Mhutu na mgogo Koko ni heri wasingezaliwa. Hawajui madaraka ni dhamana!Hakuna sababu ya kuendelea kuwa na Katiba. Ni bora IFUTWE TU! Wahuni wameamua kufanya vile watakavyo wao kwani tutawafanya nini?
Ahsante sana Mkuu sasa hawa wahuni wameamua kuufanya uhuni wao hadharani kabisa. Duh! Masikini Nchi yangu Tanzania!!
Mmembwela. Kina Mdee siyo wajingaAhsante sana Mkuu sasa hawa wahuni wameamua kuufanya uhuni wao hadharani kabisa. Duh! Masikini Nchi yangu Tanzania!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtajua hamjui mwaka huuMhutu na mgogo Koko ni heri wasingezaliwa. Hawajui madaraka ni dhamana!
Huyo amewasababisha hata ile akili kidogo mliodhaniwa kuwa nayo kuvurujika.Hivi Mbowe ni mwenyekiti mwaka wa ngapi vile?
Ahh, sorry nimesahau kuwa ile ni sacoss!
Huwezi kusimama na kufukuza tu kisa wewe umekosa ubunge! Yuko sahihiHuyu ni retard si bure!
Hi nchi ukijifanya una apply logic na reasoning na sheria kwenye siasa inafeili kabisa.Hivi hii nchi ni kwamba tu wajinga sana au shida ni nini? Mbona kuna mambo ya ajabu hivi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Noana baada ya kipigo kwenye box la kura ndio unaibuka leo?Hakuna sababu ya kuendelea kuwa na Katiba. Ni bora IFUTWE TU! Wahuni wameamua kufanya vile watakavyo wao kwani tutawafanya nini?